impossible ipo ndomaana hakuna Timu kutoka bara la Africa iliyowahi kufika hata fainali ya word cup achilia mbali kuchukua. Hakuna klabu kutoka Africa iliyowahi kuchukua fifa club word cup pia
Habari wakuu
Mwanzo
kwangu msingi wa maendeleo katika jamii ni migongano inayozaa kutokukubaliana au kukubaliana baina ya mtu na nafsi yake, Mtu na Mtu, jamiii kwa jamii au Taifa kwa Taifa migongano hiyo hutokana na huelewa wa mtu juu ya mambo mbalimbali huelewa huja kwa kutengenezwa na kukuzwa...
duuuu em toa uchizi umesomea ujinga shule, kwa magu atujawahi kuwa na mfumuko kama huu wala fedha kukosa thamani unashika ten kama buku sokoni, uo uchumi unaosema ni role ya watu wachache sio watanzania, wezii samia na watu wake wana tudhulumu haki zetu
kariakoo kwa wakimbia kodii? apo sokoni kila nikidai risiti naambiwa sio lazima kununua apa nafukuzwa maduka karibu kumi toka mwaka juzi December till leo
lbdaa maraisi wa developed state ndio wanafanyiwa izo analysis sio kwetu wachumia tumbo, kikwete alikuwa hivi hivi faida gan unaweza kuzipima kwenye maendeleo ya watu kipindi chake ?
Duniani tumeombwa tofauti tofauti yaani watu kutoka Ulaya swala la uwajibikaji utu baina yao na nchi zao ni wa kuzaliwa na kuuishi kutoka wanakuwa katika familia zao. walivyo leo na nguvu yao ni matokeo ya uwajibikaji wao, unaposikia china au America ama nchi yoyote ulaya inasheherekea miaka 100...
vyuoni kumeoza kaka walimu wenyewe njaa vifaa amna vikiwepo avitoshi necta wanazidi kumimina wanafunzi vyuo avina ubavu wa kujiendesha na kuhudumia kufundisha na kutoa competent students ni theory tu zimejaa uko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.