Recent content by aziz habib

  1. aziz habib

    JamiiForums Tanzania CCM yapendekeza Samia urais hadi 2035

    Lakini katiba inasema kama ameupata urais mtangulizi wake akiwa hajafikisha nusu ya muhula basi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu, maana yake kama Magufuli angekuwa amefikisha miaka miwili na nusu katika ile mitano ndiyo angeruhusiwa kugombea awamu mbili. So kwa mujibu wa katiba haruhusiwi.
  2. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Arudi kwao huyo atakuja kukudhuru ukiendelea kuishi naye
  3. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

    Je kwa hali hiyo ina maana ipo siku miili ya binadamu pia itazoea kuishi na hivi virusi na haitaletewa madhara??
  4. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

    🤔
  5. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Mara nyingi huonesha success
  6. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    [emoji2][emoji2][emoji2] imebidi niangalie picha za kipindi hicho kujiridhisha lakn zote zilikuwa hivyo
  7. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Mkuu kwani picha ikoje?? Mie nilipiga tu kawaida nakumbuka ilikuwa 2016 na ndivyo nilikuwa
  8. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Sometymz napata fungu linalotosha kukamilisha mambo mengi sana ila cha ajabu itatokea ishu ya kuharibu baadhi ya mambo yasitekelezeke
  9. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Nashukuru kwa ushauri mkuu
  10. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Nitazingatia ushauri mkuu..ahsante
  11. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Hili nimeanza kulizingatia mkuu...ni kweli nilikuwa nawaamini baadhi ya watu na kuwapa baadhi ya mipango ya mambo niliyokusudia kufanya nikiamini vijana wenzangu hawawezi kuwa na roho hizo ila kuna mtu amenisanua kuwa huenda hao niliowahi kuwashirikisha mambo yangu wanaweza kuhusika kwa namna...
  12. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Kuna mtu mmoja aliniambia huenda kuna watu wamepiga pini harakati zangu kwa namna ya nguvu za giza ila mzazi wangu ananiambia nisiamini sana hizo kauli
  13. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Hahaahah hata sikumbuki ilikuwaje lakin sikuwa nmepaka mafuta mkuu
  14. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Hahahaha mkuu hiyo picha sikupaka mafuta mdomoni ni picha ya miaka 7 iliyopita nikiwa na umri mdogo kiasi
  15. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Mzazi yupo mmoja (mama) huwa mara nyingi ananiambia ni ishu ya muda itapita tu lakini naona imekuwa kwa muda mrefu sasa. Kifupi yeye anaiona kama changamoto ya kawaida sana tofauti na uhalisia ninaoupitia mie
Back
Top Bottom