aziz habib
Member
- Mar 13, 2015
- 79
- 95
Lakini katiba inasema kama ameupata urais mtangulizi wake akiwa hajafikisha nusu ya muhula basi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu, maana yake kama Magufuli angekuwa amefikisha miaka miwili na nusu katika ile mitano ndiyo angeruhusiwa kugombea awamu mbili. So kwa mujibu wa katiba haruhusiwi.