Recent content by Aziwero

  1. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Unapo fanya kazi na bosi wako. Na akakuona just like nothing. Empty and u lack deed.

    Ongeza thamani ya UJUZI wako
  2. Aziwero

    JamiiForums Tanzania DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

    Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
  3. Aziwero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (KE)

    shukrani brother
  4. Aziwero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (KE)

    Hahahah! Ushirika nyumbani kabisa brother
  5. Aziwero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (KE)

    Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar. .Elimu:Degree .Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu. Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26. NB; Uwe Dar. PM kwa ajili ya kupeana...
  6. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  7. Aziwero

    JamiiForums Tanzania https://bit.ly/3He9IHY

    https://bit.ly/3He9IHY
  8. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

    Makosa kidogo ya uandishi [emoji28][emoji28]nilitaka kumaaanisha milk and juice bar
  9. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Namba ya kampuni 190190 Kumbu namba SPORTYBET
  10. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hamtaki kabisa kuleta mikeka ya leo[emoji23][emoji23]
  11. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

    Habari wanajukwaa. Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla! Ahsanteni
  12. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

    Washashindwa huko hao yanga
  13. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Diplomacy [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom