Recent content by azariah gody

  1. A

    JamiiForums Tanzania Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

    Aaaaaah kwan zikienda mbeya hazirudi dar?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

    Miaka ya nyuma nimepanda gari ya gazeti toka mbeya tupo kitonga dereva ananiambia nimpigishe stori usingizi usimpitie......wapumzike salama walotangulia
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Hii kwao kawaida kuuwa wakihisi watawatia hofu vijana kuingia hifadhini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu GPS Trackers

    Nikipata ugumu mwingine nitawasilisha hapa hapa mnisaidie
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu GPS Trackers

    Shukrani mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu GPS Trackers

    Shukrani sana kiongozi umenifungulia mengi sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu GPS Trackers

    Shukrani sana Vipi kuhusu distance ya jinsi chombo chako kilivyotembea inaweza kutuma taarifa za mwisho ( hii inakuja pia kwenye swala la kujua kiasi cha mafuta kilichotumika kulingana na mwendo). Je, zipo tracker ambazo zinanguvu zaid kias ya kufanya kaz hata kwenye sehem yenye mtandao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu GPS Trackers

    Habari wanabodi, kuna maswali ningependa niyafahamu kuhusu GPS TRACKERS... 1.Je hizi google maps ili kujua mahali chomba chako kilipo? 2. Je inaweza kusoma maeneo yoyote chombo chako kilipo hata kama ni porini? 3. Itanipatiaje uhakika wa kupata chombo changu mfano kama kimeibiwa ( jinsi ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kukopesha kwenye biashara

    Ukikopesha ndio kama umemfukuza huyo mteja humuoni tena
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    Aaaah wengi sana hawa mbona
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Kuingia field kufanya research kwanza kabla hujaingiza pesa....... Ngj nikupe mfano kipindi hicho mie nafatilia hii ishu nilikuja gundua kuwa usafiri utanisumbua especially kuelekea mwanza sasa je ningeamua kuingia moja kwa moja na cash nikachukua mzigo kabla ingekuwaje zaid ya kupoteza
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Mirejesho itakuja ni swala la watu nao kufanya research zao pia kabla ya kuanza
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Hata kwa wale wa mwnza pia kuna kiwanda cha nyama misungwi kuna muda walisitisha ila sijajua kama wanaendelea hivi sasa ama lah
  14. A

    JamiiForums Tanzania Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    Kwa hii part III Nashauri upewe nishani ya ubrigedia kabsa ukaliwakilishe taifa afghanstan
Back
Top Bottom