Maswali kuhusu GPS Trackers

azariah gody

Member
Jul 29, 2015
29
49
Habari wanabodi, kuna maswali ningependa niyafahamu kuhusu GPS TRACKERS...

1.Je hizi google maps ili kujua mahali chomba chako kilipo?

2. Je inaweza kusoma maeneo yoyote chombo chako kilipo hata kama ni porini?

3. Itanipatiaje uhakika wa kupata chombo changu mfano kama kimeibiwa ( jinsi ya kumonitor)

4. Je hizi tracker zipo aina tofauti tofauti kulingana na utendaji kazi wake? (Ningependa kufahamu)

5.Je hutumia connection gani ili kulink kati ya chombo chako na monitoring device ( satellite ama internet)

Nawasilisha.
 
1.baadhi zinatumia google maps, baadhi openstreet map, na map source nyinginezo

2. nyingi zinatumia minara ya simu ( kwa internet na SMS ) kama hakuna cellular coverage, ndiyo basi tena

3. wezi smart sana, chombo kikiibiwa, wananyofoa izo tracker chap, na mchezo umeishia hapo

4. kuna za kichina na ambazo si za kichina

5. nyingi hutumia internet/SMS kutoka kwa minara(cellular) kulink na mtumiaji

ie: tracker <> mnara wa simu <> server < > mnara wa simu <> mobile app (internet)
ukiondoa server hapo, channel inakua SMS
 
Shukrani sana

Vipi kuhusu distance ya jinsi chombo chako kilivyotembea inaweza kutuma taarifa za mwisho ( hii inakuja pia kwenye swala la kujua kiasi cha mafuta kilichotumika kulingana na mwendo).

Je, zipo tracker ambazo zinanguvu zaid kias ya kufanya kaz hata kwenye sehem yenye mtandao uliochini zaid?
 
Sasa kama hizo tracker zinanyoforeka kumbe haina maana kufunga

Maana mtu akiiba anakinyofoa basi mchezo umeisha
 
Hapo ni GIS. Ukijua Coordinates chombo chako kilituma wakati kinatembea unaweza ku calculate umbali kiliotembea, speed et al.
Kuna tracker zinatumia GPRS, so jibu ni ndio!
 
Sasa kama hizo tracker zinanyoforeka kumbe haina maana kufunga

Maana mtu akiiba anakinyofoa basi mchezo umeisha
Inategemea imefungwa wapi na iko protected kiasi gani. Kama imefichwa sana na hujui hata kama ipo unaanzaje kunyofoa?
Pia na assume hii ni security mechanism. So itategemea na response ya wahusika. Wakati unahangaika kuitafuta na kuitoa unaweza kuta washafika wazee wa bangili!
 
Kwani hizi tracker si zinafungwa kwa nje tu hivyo ni rahisi kuonekana
 
Vipi kuhusu distance ya jinsi chombo chako kilivyotembea inaweza kutuma taarifa za mwisho ( hii inakuja pia kwenye swala la kujua kiasi cha mafuta kilichotumika kulingana na mwendo).
tracker hua ina GPS module kwa ndani, module 'inadaka' (coordinates - latitude/longitude, speed, time, etc) toka satellite ya karibu iliyo kwa orbit
data zote izo zinatumwa kwa server(database) ( kwa http au mqtt) kwa msaada wa GSM modem (unapopachika line ya simu) hii modem ipo ndani ya tracker pia)

hizi data zinatumwa kila baada ya mda flani, say kila baada ya sekunde 30 kwa server, kwa app inatumwa in real-time ( mqtt )

huko coordinates zinachambuliwa na kupata umbali, ukiwa na coordinates za point mbili, unapata umbali (haversine formula) , spidi, nk

total mileage(kilomita) kwa siku ( au kwa mda flani ), zinajumlishwa umbali/km wa point to point,

ukiwa na izo data hapo utaftaji wa mafuta uliotumika unapatikana, assume gari inalamba lita-xx kwa kila kilomita moja, total kilomita unazo

Je, zipo tracker ambazo zinanguvu zaid kias ya kufanya kaz hata kwenye sehem yenye mtandao uliochini zaid?
kuna zinazotumia 1. satellite broadband 2. mobile broadband(minara ya simu) 3. LoRa WAN au 4. zote kwa pamoja

za satellite BB hazitegemei minara ya simu, inatuma/kupokea taarifa kwa 'internet via satelaiti' ina kua na 'ka dish' cha kudaka mawimbi

kuna ISP wana-provide iyo huduma, so kwenye tracker unakua na 'satelaiti modem' badala ya 'GSM modem'
 
Shukrani sana kiongozi umenifungulia mengi sana
 
Vp

Kuhusu application zinazotumila kufanya monitoring ya tracker info, ni kila gps track na app yake au unaeza kuwa na kampuni tofauti za gps tracker ukatumia app moja
 
Back
Top Bottom