kwa mara nyingine tena yanga wananyakua kombe na kulitetea pia,kiukweli wamecheza poa,azam pia wamecheza poa,ila mpira dakika 90,yanga 2 azam wanaambulia patupu,simba ni muda wa makosa mliofanya ili kupiga hatua sio kukalia majungu. . .HONGERENI WANA JANGWANI.