Jamani naona TCU kuna jipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naona TCU kuna jipya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salary Slip, Jul 21, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,474
  Trophy Points: 280
  Naona TCU kuna link mpya for higher leaning institutions na nimelog in imekubali kufunguka lakini mchana ilikuwa inagoma.Nimekuta options zifuatazo baada ya kulog in kwenye hiyo link mpya:
  1.Selected student lakini uk-click hama kitu
  2.Student transfer nayenywe haina kitu kinachotokea uki-click
  3.Transferd student
  4.Report 4
  5.Report 5.
  Nadhani inatuhusu sisi ambao ni applicant wapya kwani baada ya ku-log in jina langu likatokea.Na inawezekana ni kwa ajili ya kubadili kozi na vyuo kwani nilipo click option ya transferd student kuna sehemu ya orodha ya vyuo na sababu ya kutaka kubadilisha kozi na chuo ulichoombo.Yaani unatakiwa utoe sababu.
  Ila cha msingi ni kuwa kwenye option ya selected student ni hamna chochote kinachotokea uki-click mpaka sasa.
  Tusubiri naona kuna dalili ya mambo kuwa hadharani siku si nyingi.
  Jaribu na wewe uone ila inabidi uingie kwenye site yao na uchague hiyo link ila ukienda kwenye CAS na ku-click hutaona jipya.
   
 2. A

  Azan Baraka Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  bado sana,wanasema watapublish mpaka selected names ziende bodi ya mikopo then baada ya kutoka huko ndo watarudisha tcu then tcu ndo watamalizia kupublish so kazi nzima itaisha late august.
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hiyo link haifanyi kazi kwangu sijui tatizo ni nini...
   
 4. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,474
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati inafunguka na wakati mwingine inagoma kwahiyo jaribu mara kwa mara naona bado haijakaa sawa.
   
Loading...