Recent content by Ayubu wandiba

  1. Ayubu wandiba

    Simulizi ya maisha yangu: Naamini kuna watakaojengwa na kuelimika na simulizi hii

    Naweka notification on mimi..m sio mpenz wa kusoma mastory marefu ila hii lazma niisome
  2. Ayubu wandiba

    Mfahamu the Green Mamba

    Sikumbuki ni mwaka gani lakin huyu nyoka nishakutana nae juu ya mti wa mpera,kwa bahati nzuri nlikua na panga sa ile nmemwona akiwa karibu yangu lile shina alokuwepi nikaligonga na panga akaanguka chin akapotelea kweny majani
  3. Ayubu wandiba

    Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

    primary nlikua maarufu kwa sababu nlikua na nywele za kipilipili shule nzma,nywele hazichaniki hata kwa dawa pia nlikua na viakili kidgo vya darasan...secondary ile nimeenda kuripot form one siku ya kwanza nkakuta darasa lipo kimya limezubaa zubaa nkajifanya born town nkawapigia kelele kumbe...
  4. Ayubu wandiba

    Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

    all in all my father is my hero..hata akinitegemea sioni tabu kumsaidia napokua na uwezo...nipo kwa ajili yake.
  5. Ayubu wandiba

    Natafuta kazi iliyo halali

    Mungu akutangulie #mtamadun
  6. Ayubu wandiba

    Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu

    vp ambao wana elimu tofaut na bima lakin wana uelewa wa masuala ya bima huwezi kuwachukua? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ayubu wandiba

    Sen. John Maccain dies at age 81

    mbona kashatweet.....anatoa pole kwa familia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom