Habari za leo wenzangu katika jukwaa hili,kwanza na wapa pole sana kwa yalio tokea Arusha,yanasikitisha sana.Wengi wamesema ni udini na wengine wamesema ni siasa.Tanzania tunayo ijua sisi vijana sidhani kama kuna mtu anazungumza kuhusu udini but nashindwa kuelewa kwanini linapendwa sana kurudiwa...
Kwa habari nilizo zisikia ni kua baraza la mitihani wanatakiwa kurekebisha mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana na kutoa matokea mabaya,je mchakato huu utazingatia muda kweli,ili watahiniwa waweze kujiandaa kwa kidato cha tano?
Tanzania haina mpangilio wowote kwente vipinndi wanavyorusha,haijulikani tv gani inashughulika na michezo tuu na ipi inashuhulikia habari nimchanganyiko tuu,yaani kipindi juu ya kipindi.Kwa mfano tbc ina tv mbili kwanini moja isiwe ya michezo tuu?yaani hata ligi yetu tunashindwa kuona? Leo timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.