Recent content by ayub juma kasira

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!

    Hahaaaa umasikini wako ni ufala wako tu. Kwnn hukuwa mjanja km yeye. Na yy akawa masikini? Mali hutafutwa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya ACACIA,tatizo ni kamati ya Prof.Osoro au tatizo ni BRELA?

    Tusitoe majibu ya haraka. Kwenye makinikia tu kwa taarifa ya kamati tunakuwa nchi ya tatu kwa uzalishaji wa dhahabu bila zile gold bar. Hapa ndio kuna kuwa n wasiwasi wa report hii. Km gold kwny baki yanaweza kutupaisha ivyo, je tukiweka n hizo bar? Tusubiri
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya ACACIA,tatizo ni kamati ya Prof.Osoro au tatizo ni BRELA?

    Udanganyifu bado haujajulikana ni mpaka nawao wahusike kwenye testing. Kumbuka hili limefanywa n serikali pekee kwenye lab zake bila upande wa pili. Hili ndilo linasubiriwa. Acacia hawajaafiki na udanganyifu ulioripitiwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki

    Hili suala gumu. Hivi km ilikuwa n kampuni yake bado alikuwa n uwezo wakuendelea kulazimisha itoke Ricmond Downs n sass symbion. Jambo hili linaweza kuwaita wale tusiotaka washitakiwe.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ali Hassan Mwinyi: Utawala wa Magufuli unatakiwa uwe wa milele

    Uzee alienda hosp gani? Tumsamehe umri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

    Kaka umenena hata mm niliona niunyayasaji tu waaskari wetu dhidi ya watuhumiwa.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Anachokitetea Lissu kwenye mchanga ndio kinachotokea IPTL

    Inawezekana wamedanganya au la. Tatizo walishirikishwa vipi wakati wanachukua samples kwenye makontena? Hii kamati km imefanya kazi yenyewe tu bila upande wa pili sijui km mahakamani tutachomoka. Ndio maana wanasheria wanasema nusu saa tu tumepigwa chini.
  8. A

    JamiiForums Tanzania HANDENI: Serikali yapiga marufuku wakulima kuuza mahindi yakiwa mashambani

    Mimi ninalima Handeni. Hakuna jinsi utamkataza mkulima asiuze mahindi mabichi au kulazimisha mahindi kukauka mapema kwa kuanika. Watoto wadogo hawawezi kula mahindi ya kuchoma au kuchemsha. Inabidi wauze wapate hela wanunue unga angalau kidogo kwa ajili ya wtt wadogo. Zaidi ya hilo lzm wapate...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hatuwezi Kushinda Vita Hii Kwa Kutishana Na Kuogopa Kushitakiwa Na Wawekezaji

    Zitto anatafuta uwaziri ulioachwa n muhongo. Tusubiri kdg mtasikia lzm aungane n Anna n Mkumbo. Jamaa ni kichwa lkn hatabiriki. Hakuna kutishana nikuelezana ukweli yatakatokea . Lissu hatishi mtu. Hivi sakata la samaki tunalipa bado tuongeze n hili tna?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

    Pale Bashite anapomwita mtu mwenye uwezo Bashite. Ulichoandika Mayala kinaeleweka. Tatizo watu hawataki kuelewa ni ushabiki tu. Tizama hata watunga sheria wetu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    Tatizo la kujua kusoma n kuandika
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimetonywa kuwa kila Tsh 30,000. anazochukua traffic anapewa Tsh 7,000

    Na ss tuongeze dau mpaka 10000.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kitaalamu kuhusu uchenjuaji wa mchanga wa madini

    Hahaaaa alichikulia kirahisi . Chemistry ya form three( lambart). Kiuhalisia sio rahisi ivyo.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Maimamu watoa tamko juu ya Imamu aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Shule ndogo inaungia vp hapo. Wao wametoa malalamiko yao km raia. Ni jukumu la jopo la watu wenye fani hizo kuchunguza tukio hilo. Ss unataka wananchi wote wawe ni wajuzi wa fani ya uchunguzi? Nawezi hisi ww umetoka mkoa gani.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Haya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana huyu hapa!

    Kwani nani alisema kafa? Tatizo nikutumwa India. Viongozi wagonjwa mara nyingi hutembelewa n viongozi. Ilishangaza huyu mpaka mashaka yawepo ndio akasalimiwe?
Back
Top Bottom