JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Love at first sight
Joanah umenikumbusha mika mingi sana iliyopita,,ilikuwaje kwangu binti alikuja ofsin kuleta barua ya maombi ya kazi siku tu nimemuona alipoingia ofsini nikasema huyu ananifaa kuwa mke.
Nilimhoji vimaswali vya hapa na pale kutaka kujua machache nikamwambia maneno matatu tu, 'Nataka Mtoto Kwako'...