Recent content by Ayanda85

  1. Ayanda85

    Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Kifo cha mama yangu....aisee inaenda mwaka wa pili sasa bila unafuu, nikipata gumu lolote msiba unaanza upya! kimsingi ni almost kila siku nna msiba wa mama....mama umeondoka ila umeniachia pengo kubwa sana, walau ningekuuguza labda ningekubali umeenda🥲
  2. Ayanda85

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nimeshindwa namna ya kuzipata🥲....i tried
  3. Ayanda85

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Msaada nyimbo 2 za Ed Sheeran 1. Perfect 2. Shape of you Nitashukuru sana🙏🏼
  4. Ayanda85

    Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

    Mbona nikitaka kudownload app yako siipati?? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. Ayanda85

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Dave the fighter. Nakukubali sana jirani, kwa sie tunaofanya kazi na wewe huku Tanga tunautambua uwezo wako 'upstairs' BTW ametoa namba zake kwa watakaoguswa kumchangia anataka kununua kiti cha umeme (kama sijakosea) kitakachomsaidia kwa urahisi kuliko alicho nacho sasa. Tumuunge mkono mpambanaji
  6. Ayanda85

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    We hujamuelewa....anamaanisha njia fupi huwa ni njia ndefu 'Wrong' sio mahali pake hapo
  7. Ayanda85

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Aisee kweli, humu kuna much know pro extra max, yani ni wanakomaa sijui ma agent wa kuzimu chaaah Ukijaribu kupambana nao umeharibu, lazima nafsi itibuke
  8. Ayanda85

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Lwanda uhi!??? Mghoshi iwe imi nkunda hadishi ako kweikwei ( hangi ni hadishi hangi ni mbui za kwei aaah uteiza mwenye)
  9. Ayanda85

    Simulizi: Nini maana ya mapenzi

    Hii story jamani nimeipenda mnooo Yan segments za mama Erica zilikua zinanichekeshaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna moja hiyo eti " Erica mwanangu rudi nyumbani nimekukumbuka sana, yani mjomba wako ameniuliza hivi tulisomesha mtu au paka[emoji28][emoji28].... daah asante mtunzi, nawe...
  10. Ayanda85

    Simulizi: Utajiri Wa Damu

    Asante Shunie love[emoji7]....kastory kashununuje, ndio kwanza nipo episode ya 10 ila nshadata nayo[emoji8][emoji8]
  11. Ayanda85

    Filamu ya Escape from Pretoria ni nzuri?

    Nitaitafuta hii move just because of your brilliant narration[emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Basi nkakuta mi reply ya kufa mtu nkajua imeendelea kumbe soga jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mnatutesa kisaikolojia maghost mjue[emoji22] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ayanda85

    Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mtu Mungu anakuona Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ayanda85

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    Woiiii sie bana mie Ayanda muhenga mwandamizi humu[emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom