Recent content by Axe

  1. A

    JamiiForums Tanzania 2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

    Rekebisha kauli atapokewa kama mgeni!
  2. A

    JamiiForums Tanzania HAI, KILIMANJARO: DC aamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Tuledey

    Inaonekana anayapuuzia semina elekezi ya mheshimiwa jafo!kwanini watu hawawezi kufanya kazi bila kiki?
  3. A

    JamiiForums Tanzania TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    TRA dar wanasumbua sana watu wanao invest kwenye commercial buildings kwa kuwadai hundreds of millions kwa kisingizio ya source of income.ukitaka kujua hili sio jambo jema kwa growth ya nchi.watu wanaoomba vibali vya commercial buildings imepungua kwa 80 percent pls fanyeni uchunguzi wenu kidogo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Musukuma kumtukana mbunge wa CHADEMA (Lema) ni sawa?

    Naomba tafsiri ya KIDAMPA!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Karibu chadema na wewe ukaribiwe!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkutano wa CHADEMA umekosa mvuto?

    Mvuto???kwani anatafutwa miss chadema?sometime ujinga wako reflects on your writing.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

    Hapo ni kama kununua suti wakati huna chakula!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    Hata wachaga wanaanza kubaguliwa kwenye nchi yao.nyerere alisema ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu so pls chonde chonde!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Mbona marekani wana cold cases kibao! Especially kwenye neighbourhood za weusi .weusi wakiuana hawaipi hiyo case uzito kama ingekua kauliwa mzungu !
  10. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    Kenya wasomali ni nchi yao kama ulivyo wewe hapa tanzania .miji kama isiolo .mandera .garisa.wajir.yaani the whole of North Eastern ya kenya wanaishi wasomali so pls do your homework kabla ya kuandika .sometimes ujinga wako reflects on what you write!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    TAFADHALI SOMA KUHUSU WASOMALI WA KENYA. The average Kenyan woman is having 4.6 babies, pushing up the country’s population by a million people every year. As a result, the population now stands at 38.6 million nationally, up from 28 million in 1999. But it is the growth in population of the...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Amri ya Rais Magufuli kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8 Trilioni Capital Gains Tax

    Naona Jerry anafuta kiki ya ukuu wa wilaya
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Duh!Hata report hajaiwasilisha kwa wahusika so sad!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Madalali wa nyumba za Jiji wamhonga mamilion RC wa Arusha

    Sheria mpya ya mtandao inakuhusu!
  15. A

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga vibaya CHADEMA kwenye ngome yake ARUMERU

    Chadema hii ni wake up call! 2020 chadema wanaweza kurudi bungeni na wabunge 10 !
Back
Top Bottom