2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,040
Reaction score
1,631
Pengine inaweza kuonekana ni jambo la kusadikika ila ukweli lazima tuuseme na watu waujue.Siasa ni biashara,Siasa ni fulsa nzuri sana kwa wasaka mafanikio watu wasioogopa kuchukua risk watu wanaofikilia nini wafanye kila kukicha kama jinsi mfanyabiashara anavyowaza kutanua biashara yake kila kukicha.

CCM hivi sasa iko mikononi mwa mtu,Chama kilichoipa nchi uhuru hatimaye kipo mikononi mwa mtu mmoja chama hakina makali tena ila chama kinamtegemea mtu kuwa na makali hii ni hatari lakini pengine tunaweza kusema wao wanaiona hatari ila wanasema salama wacha tuwakomoe ndio kauli zilizojaa midomoni.

Ila wana CCM mnajua ni kiasi gani mtalipia kujiunga na CHADEMA 2020?Iko hivi ukitoka CHADEMA kwenda CCM utalipwa na huenda ukapewa na ajira ila kinyume chake ukitoka CCM kwenda chadema Utalipia pesa ndefu sana na huenda ukabaki njia panda. Mwenyekiti CHADEMA sio mtu wa mchezo hapokei mtu bure.Watu wanaweza kusema hakuna mtu atayeenda chadema ila nawaambie idadi ya wataoenda Chadema 2020 ni kubwa sana sababu ni moja tu ccm inayopitisha majina kwa kura za haki na rushwa haipo ila kilichopo ni one man show
 
Chadema hii tuijuayo inaenda kutokomea,tuongelee vyama vya kwenye flash,mwanaCCM kamwe hawezi kuhamia kwenye vyama vya kwenye flash.
 
Ni kweli HAPOKEI MTU BURE! Mzee mamvi na Dr Zero walimpa PESA NDEFU!!!!
Bora hata wakina nasari wanafrash za wakina mnyeti namma walivyonunua wabunge na madiwani zilienda hadi takukuru nyie ushahidi wenu ni upi? Au ni story za kwenye vijiwe vya kahawa?
 
Chadema hii tuijuayo inaenda kutokomea,tuongelee vyama vya kwenye flash,mwanaCCM kamwe hawezi kuhamia kwenye vya kwenye flash.
Sioni dalili za CHADEMA kupotea kabisa siasa ya Tanzania inaenda kuwa ngumu sana tofauti na unavyofikilia uhalisia na kile ukisikiacho ni vitu tofauti sana
 
Hilo ni kweli kabisa na nilishasema humu watapishana kuna cdm wataendelea kwenda huko ccm na kuna wa ccm watakimbilia cdm
 
Sioni dalili za CHADEMA kupotea kabisa siasa ya Tanzania inaenda kuwa ngumu sana tofauti na unavyofikilia uhalisia na kile ukisikiacho ni vitu tofauti sana
Kitadidimia hadi kwenye levo ya nccr-mageuzi.
 
Chadema hii tuijuayo inaenda kutokomea,tuongelee vyama vya kwenye flash,mwanaCCM kamwe hawezi kuhamia kwenye vyama vya kwenye flash.
Impotep Spoiler madafatanz
IMG_20180816_161118_656.jpg
 
Chadema hii tuijuayo inaenda kutokomea,tuongelee vyama vya kwenye flash,mwanaCCM kamwe hawezi kuhamia kwenye vyama vya kwenye flash.
Hahahaha
Totally true walahi
 
Back
Top Bottom