YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Arumeru ni ngome kuu ya CHADEMA LAKINI kwenywe uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa vijiji ona CHADEMA walivyogaragazwa.
- KIJIJI CHA ILIKIDINGA- CCM KURA 263 CHADEMA KURA 47
- KIJIJI CHA OLEGURUNO- CCM KURA 808 CHADEMA KURA 56
- KIJIJI CHA EKENYWA- CCM KURA 507 CHADEMA KURA 168
- KIJIJI CHA LEMANDA - CCM KURA 283 CHADEMA KURA 15
- KIJIJI CHA SAITABAU- CCM KURA 417 CHADEMA KURA 123
- KIJIJI CHA LOSINONI- CCM KURA 352 CHADEMA KURA 20
- KIJIJI CHA NGORBOBU- CCM KURA 706 CHADEMA KURA 102