Recent content by Awonyi2013

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, inafaa aingie kwenye kitabu cha maajabu cha Guiness

    Jamani ingaje anatisha kihistoria, lakini anaonekana yupo poa, ... sugar baby
  2. A

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Kitanda hakizai haramu, ukitaka kujua ukweli fanya DNA!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

    Duu, pole sana Idris..., ingekua heri ungemsikiliza mwenzako; anyway lakini wema yuko bomba.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Nadhani ni bora siri imwage hadharani kwa manufaa ya umma!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Walio na Tamaa Utawajua

    Hayo hayakuanza leo, kama historia inaonyesha hata Mfalme Daudi alimtamani mke wa huria. Wajua, kama wake wangekuwa wanyimi nadhani wengi wangeacha haka ka.. 'Mwana FA alisema, ukigongewa na wewe tafuta mnyonge wako...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Heee.. yaani first outing straight chumbani?? ... Hata kama ningekuwa mimi ningeingia mtini, unatudanganya eti gemu? inawezekana ni mumiami!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba: Kila raia wa Tanzania lazima alipe kodi. No zero rate tax

    Kila raia ni lazima alipe kodi isipokuwa makundi maalumu ambayo ni watoto walio na umri chini ya miaka 18, wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 na ambao hawana ajira, walemavu wa viungo ambao pasipo shaka ulemavu wao hauwawezeshi kufanya kazi yeyote inayoingiza kipato. Zaidi ya hao, yeyote atakaye...
  8. A

    JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Ni vigumu kuamini, inaonekana walioana 2008? Hivi ni rahisi kweli mtu kumuoa bila kum-duu kwa miaka hiyo anayosema?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanaume kuzaa na wake wa wenzao linasababishwa na nini?

    Tabia za wanaume kuzaa na wake za wenzao (ama wake kuzaa na waume za wenzao) zimekithiri sana Tanzania. Jeuri hiyo hususan kwa vingunge inasababishwa na nini? Je ni muendeleo wa mabadiliko ya jamii ya Kitanzania au ni tatizo la soko huria?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nani rais mwaka 2015

    Ni... Mwakyembe George, Dr Harrison, akikataa labda Kigoda omar, Dr.Abdalla
Back
Top Bottom