Recent content by AWIKA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Atakayepitishwa na wajumbe wenzake wengi wa kamati(ambao pia ndio wawakilishi wa wananchi) huyo yuko vizuri zaidi. Wote wanastaili na nawakubali sana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Penda sana hii. Mwenzezi Mungu akuzidishie Synthesizer .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Naomba kuuliza, hivi baada ya kupewa Mashine ya EFD ishu ya makadirio ya kodi inakuwaje?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Naomba kuuliza, hivi baada ya kupewa Mashine ya EFD ishu ya makadirio ya kodi inakuwaje?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

    Kumbuka sana kwamba Serikali haifanyi biashara.. Wanatumia tu pesa zitokanazo na kodi zetu.. Pamoja na misaada ya wahisani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Segerea ilikuwaje? Ccm hawana diwani hata mmoja wameshinda Ubunge!!!???
  7. A

    JamiiForums Tanzania David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Segerea ilikuwaje? Ccm hawana diwani hata mmoja wameshinda Ubunge!!!???
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Huyo Dr apewe uspika tuone itakuwaje?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mtaa MZIMA Wamagufulika

  10. A

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

    Mambo ya ajabu sana.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Dr. Slaa

    Chukua like mkuu Tabby umefafanua vizuri. Tubadili mfumo mzima unaolea mafisadi kwa ujumla. Mambo mengine mbele kwa mbele.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    pamoja na maneno yote vijana tujiandae kupiga kura ili tuwe sehemu ya mabadiliko kuiondoa ccm madaraka na kuwaweka ukawa. Baada ya miaka mitano na wao tunawacheki.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

    Tume izingatie ili kuondoa maneno.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Lakini naye pia si yuko kundi la makapi na oil chafu. Alikuwa wapi siku zote? Watanzania tumeamua.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Hao jamaa wanaweza wasipate kiongozi hata 1 uchaguzi ujao.
Back
Top Bottom