Recent content by awasi

  1. A

    Hatuna ruzuku kwenye hospitali, Rorya tunakufa

    Wilaya rorya ni kama imetelekezwa huduma zote ni hovyo. Wakazi wake ni masikini kupitiliza, najuta kuzaliwa roryo. Hatuna marupurupu za pembejeo, mashirika ya huma na hasasi za kiraia hazifiki huku. Yaan ni shida tupu
  2. A

    Hatuna ruzuku kwenye hospitali, Rorya tunakufa

    Acha kuongea uharo rorya ni sehem ya tanzania na wakazi wake ni watanzania halali. Wana haki ya kupata huduma zote za kijamii ikiwemo madawa. Nawasihi wanarory waache uchama na ukiritimba wa kuchagua wenye hela ilihali hawana uwezo wa kusimama na kuwatetea bungeni na hata kimataifa.
  3. A

    Mume wangu anatafuta kazi

    Hongera mdau kwa mbinu za maisha
  4. A

    TBC Mnakera sana!

    Bora ww mwaka wa 2 mm nina miaka 9
  5. A

    Hivi mtu kuwa Cream inamaanisha kuwa na First Class au Upper Second?

    GPA kubwa inafaida hasa kwa waotaka ajira za kufundi vyuo vikuu, ila taasisi nyingine wanawaogopa kwa sababu ni wepesi kushawishika kuacha kazi
  6. A

    Katibu mkuu wa CCM; Mh KINANA huwa hapokei MSHAHARA wala POSHO ndani ya CCM!

    Inauma sana kwa kiongozi kama uyu kuwa sehem ya majangili.
Back
Top Bottom