Uchizi wa ndugu yako ndo u generalise watu wote? una akili wewe? Yawezekana ndugu yako ana akili zake timamu ila wewe sasa kwa upunguani wako na kuombaomba kwako kunafanya umchukie ndugu yako na kuchukia wengine, fanya kazi pumbavu wewe😏😏
Unachokiwaza hakina maana yoyote kwa mpira wa Tanzania, viongozi wa hovyo wapo kila mahali nchi hii, haki itarejea pale ambapo kama taifa la wapenda soka wote wanaokwenda uwanjani watabeba silaha zao za baridi (sio za moto) na kuingia nazo uwanjani na waamuzi na mamlaka zikajua tunataka nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.