Recent content by AVUKILE

  1. AVUKILE

    Kwa wanaojua process za kuhama chuo

    du..kuna nyuzi nyingi humu zinaelezea process za kuhama chuo.zitafute
  2. AVUKILE

    Amejichora alama za X mapajani

    alama ya X inawakilsh hatar, hata hyo haukuona...jaman
  3. AVUKILE

    ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    nilikuwa napitia comment humu naona uliikimbia muhmbil, ni ngumu sana bro,
  4. AVUKILE

    Walimu wa nursery schools watendeeni haki watoto

    madam wamekupata, ungetaja na shule/day care huska ili tuwajue kabsa?
  5. AVUKILE

    Mke wa mpangaji wangu anajua zaidi ya Messi

    na mafuta yap yanamfaa...ky jelly,korie,mgando,sabuni.
  6. AVUKILE

    Barua ya wazi kwa mke/ mpenzi wa jirani nimpendae.

    huenda ni ww, amechukua wasifu wa profile picture yako
  7. AVUKILE

    Je Unazijua Kwa Undani Shule Za Private 5&6

    ngoja nijarbu kuulzia, na kama kuna wajuz wengne humu watujuze
  8. AVUKILE

    Je Unazijua Kwa Undani Shule Za Private 5&6

    ujafafanua mkuu vizuri kwa combination zipi? kama za sayansi, ada yao huwa kubwa sana kutofautiana na wa arts kwa kigezo cha practical, kiukwel ndugu kwa hyo pesa cjui kama kuna shule maana za o level zenyew zna gharama sana hata kama ni day, labda jarbu kweny mashirika ya kidini kama katoliki...
  9. AVUKILE

    Je Unazijua Kwa Undani Shule Za Private 5&6

    ujafafanua mkuu kwa combination zipi? kama za sayansi huwezi pata kwa sababu practical zinakula pesa sana....kiukwel shule nyng za advanc prvt ada yake inaanzia mil 2, kasoro zile zinazomilikuwa na mashirika ya kidini mf. makanisa ya katoliki huwa wanaada nafuu kdogo.
  10. AVUKILE

    Niulize chochote kuhusu DUCE

    naomba kuuliza utaratibu wa libary ukoje hapo,muda wa kujisomea private ukoje ktk madarasa ni muda wowote utakao au kuna muda maalumu maana nilpita hapo duce naona kuna gate...sasa ndo naulza muda wowote hata nyakat za ucku unaruhuswa kuingia ndani ya chuo?
  11. AVUKILE

    Nashindwa kumuelewa, alinionyesha ishara za mapenzi nimemtongoza kakataa

    naomb ushaur wako,nifanyeje ili arud kweny hali yake ya furaha pindi tutapoonana
  12. AVUKILE

    Nashindwa kumuelewa, alinionyesha ishara za mapenzi nimemtongoza kakataa

    uchokoz huo dada, hao maneno nimwambie ya nini...kwan mm mtoto tumeongea maongez ya kawaida tu
  13. AVUKILE

    Nashindwa kumuelewa, alinionyesha ishara za mapenzi nimemtongoza kakataa

    kawaida tu, na baada ya hapo story zikaendelea kama kawaida na tukikutana furaha ilikuwepo,sasa baada ya jibu ndo furaha na uchangamfu kwang umekuwa zero
  14. AVUKILE

    Nashindwa kumuelewa, alinionyesha ishara za mapenzi nimemtongoza kakataa

    kuoa ni mpaka makubaliano yetu na kila mmoja akiridhika na mwezake
Back
Top Bottom