Recent content by Avicii

  1. Avicii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujihusisha kimapenzi na vitoto vya miaka 16 hadi 22 ni tabu tupu

    Yaani acha tu mkuu Kuna mmoja nimempenda za ki kweli anachanganya kweli mara leo ana act ana hasira hataki kuongea na wewe wakati unamuona kabisa ana act sijui wanatakaga nini hawa
  2. Avicii

    JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Sio mchana mkuu hiyo b2 bomber haionekani na radar yoyote duniani ni ndege ambayo Haina mkia kwahiyo suala la kuvizia unajidanganya
  3. Avicii

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Daah sema wayahudi jau
  4. Avicii

    JamiiForums Tanzania Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Mi kilichoniuma ni wachokonozi kukamatwa wale jamaa walikuwa wanatema nondo mbaya kabisa
  5. Avicii

    JamiiForums Tanzania Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Shida sio askari mkuu shida ni teknolojia na silaha za kisasa halafu hiyo unayemuita myahudi sio ni mmarekani
  6. Avicii

    JamiiForums Tanzania KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Alafu zile faida yake ndogo ili update faida ya shilingi elfu nane kwa siku inakubidi uweke 300k. Wakati Mimi Nishavuta 11k kwa elfu kumi na sita tu maAttach files https://www.jamiiforums.com/attachments/upload?type=post&context[thread_id]=2313587&hash=536fc6dbb3b0fa98be61b06c48ff088cmbo kwa...
  7. Avicii

    JamiiForums Tanzania KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Nashangaa
  8. Avicii

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

    Hapa ndo nakumb hapa ndo nakumbuka wimbo wa one direction uitwao night changes "we only get older baby now I've been thinking about it lately"
  9. Avicii

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    Afadhali hata na wewe umeona mkuu anataka kujifanya Messi wakati wenzie wapi wazi
  10. Avicii

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    Yanga waangalie mamelodi wasije wakamtamani mzize
  11. Avicii

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    Aziz ki nilijua atakosa ati
  12. Avicii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo naondoka kwa shemeji hata wanibembeleze vipi

    🤣🤣🤣
  13. Avicii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo naondoka kwa shemeji hata wanibembeleze vipi

    Mkuu ngoja niongezee na sukari kabisaa
  14. Avicii

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu yupo, basi hana nguvu

    Wakoloni wameharibu sana waafrika na hizi dini zao za mchongo wamemuumba mtu ambaye hayupo na kujenga chuki baina yetu Leo hii tunachukiana kisa dini
  15. Avicii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Samia kwa kazi kubwa aliyofanya mpaka nimefanikiwa kuuona mwaka mwingine tena. Heri ya mwaka mpya ndugu mwandishi nipo hapa napata kinywaji ungeweka mwendelezo ingependeza
Back
Top Bottom