Recent content by avi

  1. A

    Ni sababu gani zinazochangia kushuka kwa Shilingi yetu na Dola kuwa juu?

    Dollar imepanda karibu ulimwengu woote jombaaa kwa kifupi America uchumi umekuwa stronger mfano mzuri ni Australian dollar tofauti ilikuwa few cents lakini sasa ni zaidi ya dollar 2 so sio kweli kwamba Tz sijui siasa no ni USA wame rudi mahali Yao
  2. A

    Leo nimetimiza rasmi miaka 5 sijafanya mapenzi, happy birthday me

    Mhhhh age yako ikoje na pia ulishawahi ku do? Maana usije ukawa unasema huja do for 5 yrs then kumbe hukuwahi ku do? Maana kweli ni ngumu japo inawezekana kukaa 5 yrs bila ku kugonga bila reasons??? Kwenye hiii gari nashuka!
  3. A

    Helkopta CHADEMA zaidi ya ruzuku, siku 14 ni billioni moja, kwanini dola isipande?

    Kama hujui Sababu ya dollar kupanda Kaa kimya chadema Hawana ubavu wa kupandisha dollar
  4. A

    Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Hata wewe ni wale wale tumwombe mungu bahati mbaya mkose ruzuku Hata TLp itakuwa nafuuuu mtakimbia bila kusema mafisi tu nyie hakuna Sababu yoyote oooh ujamaaaa!!! Ujamaaa Tz?
  5. A

    Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...

    zzk ni maarufu na ataendelea kuwa maarufu ila Hana chakufanya kwa cdm kujenga Chama sio kazi rahisi Hata kidogo kwasasa atafaa ajenge Chama walau afikie kupewa ruzuku sana sana atsababisha upinzani Kati ya ukawa na ccm kuwa mkali zaidi Hata pale ambapo ukawa wangeweza kushinda ambapo ndio ili...
  6. A

    Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    Zitto ingefaa sana akae kimya atulie bado anajina na Imani kwa wtz lakini anachokifanya sasa kinanifanya kuwa na maswali mengi mfano Kweli anajitangaza nchini na kusema wagombea ubunge wahamie act swali hapa anadhani anaweza kuingia act Leo na kukijenga ghafla namna hiyo? Pili gharama zoote hiZi...
  7. A

    Kwanini sherehe za CCM kitaifa huwa hazifanyiki Arusha au Moshi?

    Wanaweza kuzifanyia huku lakini watapata aibu kwasababu wananchi wengi hawatofika pia hatawezakuwapata wanafunzi kwenda kufanya maonyesho ni ngumu Sanaa
  8. A

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta (Januari 06, 2015)

    Ewura eti mmejipanga? Wapi always lazima mpangwe kila siku hadithi zile zile hamna lolote hopeless. Hapa mwanzo imeonyesha hamtaweza kudhibiti bei kwani bei za mikoani hamzijui eti mikoa mingine bei itakuwa tofauti kutokana na gharama za usafirishaji semeni hiyo tofauti au hamjui???
  9. A

    Freeman Mbowe hatarini kuumbuka, TPDC waweka hadharani gharama za Ujenzi wa Bomba la Gesi

    Chabruma elewa Mbowe hatakuwa anaota ndoto na wezi woote huwa wanaelewa vipi wanatakiwa kuweka hesabu so usiamini sana hesabu ziko clear still, trick zinawezekana bado!
  10. A

    Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Muhongo alipaswa akiwa kama kiongozi kusikilizana vizuri kwa hoja na wawekezaji wazalendo sio kuwapiga vijembe vya kashfa
  11. A

    Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Unaushahidi pale alipotumia hela?
  12. A

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kuna tetesi mh anategemewa kumtangaza migiro kumrithi mtoto wa mkulima
  13. A

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    Hapa yafaaaa ndugu wabunge kesho asubuhi kazi yenu ya kwanza iwe kupiga Kura ya kutokuwa na Imani na Makinda mumtoe kabisa kwani yeye ndiye tatizo kubwa ndio Sababu job alitolewa ili yeye afanye matakwa ya wezi
  14. A

    Kipi tujifunze kama Taifa katika picha hii ya Mama Maria Nyerere akiwa pamoja na Mbowe na Dr. Slaa

    Kama kweli mwl alichemka sioni maajabu kama anasemwa kwa kusema uongo au kwa kufanya hila kwani Hata manabii walisemwa na kushutumiwa sembuse yeye?
Back
Top Bottom