Recent content by Avelina

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kazi nyingine jamani?

    teteee kali!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Anaumia wakati wa tendo

    mm ni ke kipindi cha usichana wangu ckuwai kupata utamu wowote kila 2livyokuwa tunakutana na mpenzi wangu nilikuwa naambulia maumivv tu nimepata utamu wa mapenzi baada ya kujifungua!
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kukusamehe nashindwa kukuacha

    pole sana! mwenzio nilipenda mwanaume nikamuamini asilimia 100% kilichonikuta cna hamu nacho kumuamini mtu asilimia 100 akija kukusaliti unapata maumivu makali,
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    nitafanya ivo!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    wakuu nikinywa maji kwa sana naona hali hii inapungua!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    asante kwa ushaur wenu!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    2litumia kondom
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    Habari zenu wanaJF! Nimekuwa msomaji wa topic za wengine kila mara na mimi leo nimekuja kuomba ushauri! Kuna mchepuko nilichepuka nao baada ya siku tatu kupita nimepata tatizo la kupata maumivu ya mkojo(mwishoni). Je hili litakuwa ni tatizo gani lakini tulitumia kondom . WanaJF naomba...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Anameremetaaa

    Matron kwani hujui sindiria zinapouzwa?
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada mnaovaa visketi au vigauni vifupi, ni afadhali mvae suruali tu au pensi

    hilo ni pepo uzuri sio kunesha mwili wa ndani uzuri aliokupa Mungu hata ukivaa nguo ndefu utaonekana. Wamuogope aliyewaumba nao watajitambua.
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

    usafi sio kunukia tu sema shetani ameuteka ulimwengu na mambo ya kisasa hata nguo ni utashi wa mtu wao ni wasomi wanajua wanachokifanya ww tafuta wa kunikia hata unayemtaka
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nimepigwa na butwaa

    Kumbuka msaada wako ni Mungu peke yake acha pombe mrudie Mungu nae atakupa mke mwema usitangetange baki njia kuu
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki niende kazini

    komaa!
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwaka umepita tangu wife kubakwa,bado nashindwa kulala nae

    kweli dunia haina huruma! mkeo alijitoa kukunusuru wewe sasa hivi unaona kinyaa kweli wanaume sio watu wenye huruma!
  15. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa tabaani

    watanzania tuna macho lakini hatuoni kwanini m2 uwe na uchu wa madaraka waachie vijana waongoze!
Back
Top Bottom