Anaumia wakati wa tendo

P.hunter

Member
Nov 16, 2015
74
27
Habari wana Jf..

Mimi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana.....mara ya kwanza kugegedana ilikua ni mwezi wa 8...na yeye ndo ilikua mara yake ya kwanza....sasa toka hapo tukafanya kama wii hivi lakini ile wakati yote yalikua bado anaumia sana....akawa hataki kabisa.....akawa anasema nimvumilie kwa wiki tutakua tunaenda mara 2....cha kushangaza mpaka leo bado anaumia sana....binafsi najisikia vibya halafu namuonea huruma......nimeshajitahidi njia zote kumuandaa namuandaa vizuri tu.....mpaka mafuta tukaanza kupakaa.....lakini cha ajabu bado anaumiaa......

Naombeni ushauri ndugu zangu
 
Last edited by a moderator:
Mafuta? Why mafuta? Wasukuma na ugari ndo inawafanya wakauke kama jiwe. Anyway nijuavyo wanaoumia mara nyingi ni wakavu by nature.

Kama unafikiri tatizo ni ukavu ndo unasababisha maumivu kuwa wazi tukusaidie.
 
Habari wana Jf...Mimi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana.....mara ya kwanza kugegedana ilikua ni mwez wa 8...na yy ndo ilikua mara yake ya kwanza....ss toka apo tukafanya km wk hv lkn ile wk yte alikua bdo anaumia sn....akawwa hatakii kabisa.....akawa anasema nimvumilie kwa wiki tutakua tunaenda mara 2....cha kushangaza mpk leo bado anaumia sn....binafsi najickia vbya halafu namuonea huruma......nimeshajitahid njia zte kumuandaa namuandaa vzr tuu.....mpk mafuta tukaanza kupakaa.....lakini cha ajabu bado anaumiaa......Naombeni ushauri ndugu zangu

Mkuu inawezekana ukawa na rungu ambalo ni over size!
 
Mwambie aende aja ndogo kabla ya tendo. Inawezekana mfuko wa mkojo unakuwa umejaa na kusababisha maumivu wakati wa tendo.

Jaribu hio.
 
Kama huwa unatumia condom itabidi uache coz inakausha. majimaji ukeni so demu anapata maumivu
 
Back
Top Bottom