Recent content by Avanti

  1. Avanti

    Haya hapa makundi matatu muhimu yanayoiunga mkono CCM

    Post ya kikuda tu. Unataka ķila mtu afikiri km wewe bogus kabisa
  2. Avanti

    Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Sijaandika siku nyingi lakini nimepata Habari za uhakika kutoka kwa viongozi wa Chama Tawala kuwa Mwigulu naye atakatwa kama Lowasa kwa sababu kufuru anayoifanya Iramba si ya kawaida. Msafara wa magari kumi kila aendapo. Imewakera sana watu hadi kufikisha habari hizi na sasa kishaazimiwa...
  3. Avanti

    Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Vipi kuhusu RPC wa Simiyu Mkumbo naye tuambie hali yake kwa sasa?
  4. Avanti

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    Huelewi ukiandikacho. Pengo alikubaliana na wenzake bila ubishi na ndiyo maana kanisani kwake ujumbe ule ulisomwa kama kawaida ila yeye alielezea reservations zake tu. Na hilo sio kosa hata kidogo.
  5. Avanti

    Mbunge Salome Mwambu hoi jimboni Iramba Mashariki

    Mpumbavu tu wewe kuwatangaza wenzio wana ukimwi utadhani umewaambukiza wewe
  6. Avanti

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Tundu Lisu taahira tu. Ni kweli watoto wake hawatasoma huko, sana sana wale watoto wa wananchi wa kijijini kwake wataendelea kusoma shule hizo na yeye wakimpigia kura tu, apate mahela ili awalipie watoto wake shule nzuri nzuri ikibidia wakasme hata Ulaya. Kazi kweli kweli!
  7. Avanti

    Mwishowe nimeutua mzigo

    Du du du du hasiraaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. Avanti

    YAH: Taarifa za Uzushi/Uongo kuhusu kupotea kwa Helkopta nikiwa Ziara Mkoa wa Tanga (17.01.2015)

    Mwigulu wewe ni pot wangu tena nakusalimu kinyumbani "Ulaile iza ne mbwane wee?". Sasa nakusihi kitu kimoja, nafasi ulizonazo sasa zakupasa uwe unakuwa mtulivu na ukitaka kusema kitu kwa umma tafuta watu wazuri wa kukuelekeza namna ya kusema (kubali kuna watu makini zaidi yako) ama wa kukusemea...
  9. Avanti

    Je sous Charlie Hebdo, Freedom of speech

    Thread yako inadhihirisha uzezeta tulionao WaTZ. Unafikiriaje kuandika katika lugh ambayo hadhira itakayokuelewa ni asilimia 5 mpaka 10 tu. Kuna haja ya kukusaidia ushauri wa kwenda kupima ukichaa wako, yawezekana ukichaa wako unaongezeka siku hadi siku. Kacheki pls.
  10. Avanti

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Mfumodume umekuathiri. Unamdharau hata mkeo! Too low and shame on you!
  11. Avanti

    Mtoto wa Jaji Kipenka Musa anunuliwa, CCM kuzidiwa!

    Mbiii mbwane Kyalosangi. Mie mzima. Sasa acha uwongo kaka, wkt unasoma Tumaini hukuwa hivyo! Iramba upinzani bado sana, labda Kitila Mkumbo angeendelea kuwepo CDM tungesema kitu. Kwa sasa bado sana, ndiyo maana mnatunga uwongo. Uwongo Uwongo tu!
  12. Avanti

    Zitto, Filikunjombe wadai Waziri alitaka kuiba Ripoti

    Lukuvi alikuwa anatekeleza wajibu wake vizuri tu. Unajua kuwa huyu bwana aliwahi kuwa kachero (shushushu)? Ni kawaida kwa makachero kufuatilia mambo km hayo na yakiwa mabaya kuyazuia kabla hayajaenda hadharani. So sioni ajabu kwa kachero kutaka kujua nini kilikuwemo kwenye Taarifa ya PAC kabla...
  13. Avanti

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Nawe mjinga tu kwa hiyo unamwamini Zito? Hata km deni limeongezeka unajua umeme umesambaa kiasi gani?
Back
Top Bottom