magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,339
Nimejaribu kufanya utafiti wangu na nimegundua ccm inaungwa mkono na makundi 3 yafuatayo:
1. Kundi la kwanza ni la watz ambao hawajielewi na wala hawajui ni kwa nini wanaipigia chapuo ccm. Hawa ukiwauliza kwa nn watamchagua mgombea wa ccm?? Majibu yao utasikia;bora tuwape hao hao tuliowazoea..au tunaogopa tukiwapa upinzani itatokea vita. Ki-msingi majibu ya aina hii ni ya mtu aliyekata tamaa,ni wa kumhurumia.
2. Hili ni kundi la wafaidika na mfumo-ccm. Hawa wanahofu na nafasi zao za utumishi kuwa shakani km ccm itaondolewa madarakani. Hawa ni wale wanaoishi kwa dili,hawa wako tayari kutumia kila walichonacho kuhakikisha ccm inabaki. Hili ndo kundi kubwa,linalojumuisha viongozi,wagombea na hata wafanyabiashara wanaonufaika na mfumo wa sasa wa utendaji serikalini.
3. Hili ni kundi lenye nongwa na Lowassa. Kundi hili linaongozwa na Mzee Mwanakijiji Dr.W.Slaa na mkewe. Hawa viongozi wa kundi hili,hata ukiwasikia wanachopinga km una akili,utajua kwamba ni WIVU ndo unawasumbua. Hivi kweli hata kwa akili ya kawaida tu,unawezaje kumkataa mtu ambae amekubali akiingia ataanzisha upya mchakato wa katiba?? Katiba ndo nguzo muhimu ktk utawala wa nchi. Bahati nzuri,wameishia kupata aibu karibu kwa kila kitu walichojaribu kufanya kufifisha harakati za mabadiliko.
Tar.25.october ndo watajua wote hao juu ya nguvu ya lowassa na ukawa.
Nawasilisha.

Last edited by a moderator: