Hao ndio askar wetu, hakuna weledi kabisa, mtu una silaha lkn akili haijatulia, wanajeshi na nyie achen dharau, hapo angetii amri wala kusingekua na matata, haya ni mabalaa yakujifanya mimi unanjua wewe
Hivi kwani kumtembelea mgonjwa kuna ulazima wakulazimishwa? Hivi Tanzania nzima Lissu dio mgonjwa tu? Acheni wehu yeye juzi alisikika akilaum baadhi ya watu kutokwenda kumsalimu, sasa yeye nnaweza kusema anaumwa pengine akili zimeyumba weee uwekwe wapi
Jamani kuna vijana wa sheli ya GBP branch ya mbezi aisee wanapiga sana wateja Mfano ni mimi mwenyewe nimepigwa saa kumi na mbili hii, wadau mnaohusika chukueni hatua vinginevyo ipo siku mtasikia kijana kavunjwa miguu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.