Recent content by Auz

  1. Auz

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanga: Askari Mwita alifariki kwa Kujinyonga, Uchunguzi unaendelea

    Hakuna pole kwa familia wala majonzi!
  2. Auz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Apumzike kwa Amani!
  3. Auz

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu ameacha wajane wawili!

    Huyo mke mwenza kaipata au anaipata fresh kutoka kwa mwenye roho mbaya kama huyu.
  4. Auz

    JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Kwa vyakula, tukipunguza au kuacha kuiga uzungu, na kuendeleza taratibu za kiafrika za ukulima, uuaji na tunavyopika vyakula vyetu, inaweza kutuepusha na madawa wanayoweka katika mbegu za vyakula, nyama n.k. tutaonekana tuko nyuma, pengine hatutengezi pesa, kwa kutoharakisha na kukuza...
  5. Auz

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wazalendo, Mauaji ya Halaiki ya Oct 29 yawekwe kwenye Taarifa Rasmi kwa matumizi ya baadae

    Ni muhimu. Hivi wanasheria, wanashindwa kuijenga hoja na kumburuza mkuu wa jeshi la polisi na jeshi la wananchi mahakamani kwa yaliyotokea? Hoja ianze kwa wao kushindwa kuzuia ghasia dhidi ya, kulinda raia na mali zao. Kuhakikisha kwa kushindwa kule, basi nao wawajibishwe, kwa kuachia madaraka...
  6. Auz

    JamiiForums Tanzania Huenda hakuna mwisho wa dunia wala watu kuchomwa moto

    Mtazano wangu ni kuwa, mwisho wa dunia ni pale mtu binafsi anapokata roho. Hivyo si jambo la umma. Jinsi utakavyokata roho, ndio inakuwa ama adhabu au raha yako nikimaanisha, ikitokea roho inakutoka kwa mahangaiko, mateso, ndio hayo mateso yanayoongelewa kama moto. Ukikata roho kwa utulivu...
  7. Auz

    JamiiForums Tanzania Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Lissu si kiongozi wa nchi! Huyo kiongozi wa nchi mbona anafanya mauaji? Je muuaji ndie anayekufaa? Kama ndio hivyo, muuaji ndie Yuko madarakani na sio Lissu. Sioni hoja yako wala mashiko, kwani unachoongelea hakipo, Lissu si kiongozi wa nchi!
  8. Auz

    JamiiForums Tanzania AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Utawala wa tz kwa muda mrefu, umekuwa ni wa mabavu. Tukiacha unafiki na kuzingatia ukweli na uhalisia wa mambo ya nchi hasa chaguzi, ni dhahiri, hakuna uhalisia wa hizo asilimia 97 za ushindi, na kurudi nyuma, tunajua CUF imekuwa ikishinda, Lowasa alishinda, Lissu alishinda, ila tume ya...
  9. Auz

    JamiiForums Tanzania Mali: Mwandishi na Influencer wahukumiwa jela miaka 7 kwa kukosoa serikali

    Huyu mtu anaelekea ni mkweli, na anaongelea uhalisia wa mambo. Watawala hawapendi ukweli unaoonesha madhaifu yao.
  10. Auz

    JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    Uchuro huu!
  11. Auz

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Hongera kwa kujisimamia na kujifunza kadiri maisha yanavyokwenda. Inaelekea utakuwa mwenye mafanikio kwani unajua udhaifu wako, unaurekebisha. Mzee mjulie hali, msaidie inapobidi, umeshaanza maisha yako, kurudi nyumbani ni kusalimu tu.
  12. Auz

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Unapojenga kituo cha mavazi bila maliwato, mchoro ulisanifiwa na mhandisi au mwanasiasa? Watu wazae wakiweza, ila wake gharama za maisha pia.
  13. Auz

    JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

    Ni lazima wote wawepo hapo?
  14. Auz

    JamiiForums Tanzania CCM ina hazina kubwa mno ya vijana wenye vipaji tupu, ni vigumu mno kushindwa uchaguzi au kutoka madarakani

    Cha kushangaza, ni jinsi wanavyotegemea dola, na wizi ili kushinda. Sasa inajulikaja kimataifa kama mfano mbaya.
  15. Auz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi

    Mpaka sasa mliwakama na kuwahoji chadema wote waliokuwa nje au huru. Sasa unaona aliyeko korokoroni ndio aliyesabanisha? Ccm akili zenu ni za ajabu? Roho mbaya, inayoridhishwa na kufarijika binadamu mwenzako anapoteseka, unapomkomoa bila ya kosa.
Back
Top Bottom