Recent content by Auxin

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni kujichubua

    Unamsema dulla makabila kijanja
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nimetoa direct win Kwa Sunderland Nimeweka kibunda Cha maana kwelikweli
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

    Kudadadeki embu kuwa serious kidogo Tunatafuta maarifa hapa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

    Wala sijui yanatoka wapi Sehemu safi wanauza maziwa nami nikaunga humo humo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

    Ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tuu au na nyie hivyo hivyo

    Amani iwe juu yenu Mara Kwa mara nimejenga mazoea ya kunywa maziwa fresh,mara nyingi hunywa kiasi ya nusu Lita. Baada ya kunywa baada ya saa Moja na kuendelea naanza kujamba Jamba Hadi nakosa raha Hali hii huendelea Kwa siku nzima yaani 24hours baada ya kunywa. Je hii Hali ni kwangu tuu au...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man city 2-1 Woyoooooo
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Kazi ni kipimo Cha utu KC team we are proud
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Girona chama la Wana
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    F1B6FBF BetPAWA 6+ Odds Mtanikumbuka
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata Massoro Husseini Kivuga

    Nitakuja na Uzi maalumu jinsi anavyotapeli watu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata Massoro Husseini Kivuga

    Amani iwe juu yenu Samahani wadau naomba Msaada wenu wa kumpata Huyu jamaa anaitwa MASSORO HUSSEINI KIVUGA Alikuwa mwalimu Ngomeni sekondari muheza Tanga then akahamia galanos sekondari Iko Tanga Jiji baada ya hapo Sina taarifa zake rasmi ila yuko Dar. Anapenda sana kugombea ubunge kura za...
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanuna na kanizuia kutoka

    Aiseeee Nimevua nguo zote za mtoko,nimevaa pensi nyanya flaniii hiviii matata na t-shirt,nitumetulia tuu natafuta maokoto kwenye kindege Cha aviator na kulaza nyavu,namuona tuu wife anajizungusha zungusha jirani yangu,ananiuliza unafanya nn? Nimemwambia nacheza game. Kaandaa msosi swafi...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanuna na kanizuia kutoka

    Heshima kwenye wananzengo. Mm ni mtumishi wa umma Sasa leo asubuhi nimejifanyia usafi kwa kujinyoa sehemu zangu za Siri upara swafi pamoja na makwapini then nikaenda kuoga then nikapigilia pamba safi na unyunyu Kwa mbaliiiii. Sasa nataka kutoka wife kazinda mlangoni anasema leo hatoki mtu...
Back
Top Bottom