Recent content by authentic05

  1. authentic05

    Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

    Wachana huyo alikuwa kavurugwa .
  2. authentic05

    Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

    Asante mkuu, nilishaoa tayari. Miaka mitano iliyopita. Maisha wakati mwingine hayataki utumie akili mobu kama unataka kurusha satellite kwenda sayari ya zebaki. Game ngumu badilikia humohumo.
  3. authentic05

    Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

    Hakika, ushauri wako ulikuwa mbele ya wakati. Barikiwa.
  4. authentic05

    Huyu mpenzi wangu anafaa kuwa mke?

    Mrejesho : Habari za wakati huu wana Jamvi, natumani mu wazima wa afya iliyo njema. Miaka inakimbia sana na katikati ya mbio hizo wenzetu wengi wanachoka na kuanguka njiani. Kama mimi na wewe tu wazima hata sasa basi Litukuzwe Jina lake Mungu. Miaka kadhaa iliyopita niliwasilisha kisa hiki...
  5. authentic05

    Gari ya kukodi Iringa

    Hiyo Allion ni Ya Mwaka gani?
  6. authentic05

    Gari ya kukodi Iringa

    Hiyo Hapana Mkuu.
  7. authentic05

    Gari ya kukodi Iringa

    Hapana mkuu, Asante.
  8. authentic05

    Gari ya kukodi Iringa

    Habari za Jioni, Inatafutwa gari ya kukodi Kwa ajili ya Shughuli Sifa, Iwe Saloon car, 5seats Mercedes benz au BMW, Toyota crown is the Last option, Itafanya kazi siku nzima kwenye 50km toka Mjini, barabara ni Nzuri panafikika Itaenda asubuhi na kurudi jioni. Iwe kwenye hali nzuri, pm kama una...
  9. authentic05

    House4Rent Urgent:Nyumba ya Kupanga Inahitajika

    Habari wakuu, Nahitaji nyumba ya haraka sana, Sifa: Vyumba Viwili+ Jiko Isiwe mbali na barabara kuu ya Morogoro road Iwe inafikika kwa Gari, Maeneo -Kimara mwisho kurudi hadi Ubungo au Survey au Sinza Iwe ya Kisasa Budget 250k-300k malipo 3-6Months Tafadhali PM urgently..
  10. authentic05

    Nimeota hii ndoto zaidi ya Mara 30, Nini maana yake?

    You got me wrong Mkuu, I truly trust in only One, True God. Lakini pamoja na hayo, lazima tukubali kuwa Mungu amegawa Karama tofauti kwa Kila mmoja wetu, Kuna watu wana karama hii ya kutafsiri ndoto, kama vile ulivyotolea mfano wa Daniel na ndoto ya Mfalme wa Babeli Japo walikuwepo pia kina...
  11. authentic05

    Nimeota hii ndoto zaidi ya Mara 30, Nini maana yake?

    Mungu akubariki ndugu, Walau hapo Nina Mwanga, Mungu ni Mwema,
  12. authentic05

    Nimeota hii ndoto zaidi ya Mara 30, Nini maana yake?

    Habari Wapendwa, Mods Tafadhali, ikibidi Hamishieni Uzi huu kwenye Jukwaa la dini/Imani Habari za Jioni, Hii ndoto imekuwa ikijirudiarudia hivi sasa kiasi kwamba Karibu kila wiki ni lazima niote, Mimi ni Kijana wa Kiume, Nina umri wa miaka 30, Nilihitimu kidato cha nne shule moja ya Serikali...
Back
Top Bottom