Recent content by Aureus Ndimbo

  1. Aureus Ndimbo

    Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Tunatakiwa kuanzia hapa kwa kudeal na vitu hivi vichache Kwanza Akina Nani walikuwa kwenye kiakao.upelekezi uanze na hao. Pili Sumu mwilini imeingia kwa mfumo upi consumption poison au katika mfumo upi Ila polisi naombeni fanyeni upelelezi was Jambo hili kwa weledi mkubwa kabisa mrudishe...
  2. Aureus Ndimbo

    Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako

    Ndoto Ni mawazo ya mchana, .Prove this kaa na rafiki yako then ongelea kuhusu kumiliki gari bas siku hiyo au baada ya siku mbili utaota umenunua gari au rafiki yako amenunua gari. Kuhusu kuwaota waliokufa halikadhslika Ni mawazo ya mchana juu ya watu hao Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aureus Ndimbo

    Kutumia Dola ni kukosa hoja?

    Toeni ufafanuzi kwanza Nini maana ya dola? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Aureus Ndimbo

    Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Mi binafsi napongeza jitihada za serikali katika mapambano ya kiuchumi. Lkn isisahau ku link maisha ya watu na ukuaji wa kiuchumi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Aureus Ndimbo

    Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

    Kujua Ni msukuma au muha essence yake Ni nini kwa ustawi wa Taifa Hili. Hatuna haja ya kujua Kiongozi wetu Ni wa kabila gani ili mradi anachapa kaxi kuwatumikia Watanzania Tuna mambo mengi Sana ya kujadili yenye tija kwa Taifa hili.sio kujuana makabila. Mwalimu alipinga Sana Tabia km hiyo Sent...
  6. Aureus Ndimbo

    Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Nikupongeze Kaka Pascal kwa mawazo mazuri,binafsi nakuwa interested sana kusoma post zako kila ninapoona umeandika. Mimi Nilikuwa na Jambo moja ambalo nataka nishauri kwa hicho ulichokiandika Kwamba suala uliloshauri Ni very sensitive Sana kwa usalama wa nchi yetu, na pia huenda umeenda deep...
  7. Aureus Ndimbo

    Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

    Huko ninkuingilia imani za watu na nu kinyume na katiba ya nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Aureus Ndimbo

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    Kuna kitu nakiona kipo. Mwananchi Msando sio mkurupukaji kuandika barua ile,Kuna msukumo wa nje wa kimbinu ukiachilia uzalendo ,huenda Kuna mpango unatengenezwa ili kujua km barua itajibiwa legally na mhusika ili kujua reaction yake upande wa pili itakuwaje. Hi Mimi kwangu naiita intermind...
  9. Aureus Ndimbo

    Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

    Who is Paul Makonda to the extent we are impurifying our image as nation. In diplomatic way mh Paul Makonda anastahili kuchunguzwa na akibainika Basi afikishwe kwenye vyombo vya sheria. Hatuwez kuharibu mahusiano makubwa tuliyonayo Kama Taifa na nchi kubwa kiuchumi duniani Kama Marekani...
  10. Aureus Ndimbo

    Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

    Hilo sio Jambo la kushadidia km tunavyofanya ndg zangu watanzania. Kupunguza misaada kwa nchi yetu km Taifa waathirika Ni sisi watu wa chini lbdavkm anayeshabikia Ni tabaka la juu. Ni ushauri tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Aureus Ndimbo

    Watanzania na Wapinzani, Wamarekani wameshatuonyesha njia ya kuelekea Kanaani

    Kaka my hapangiwi kazi na mtu. Siku ya maandamano utasikia wale jamaa Ni siku ya kupanda miti nchi nzima Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Aureus Ndimbo

    GE2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

    Ubunge sio muziki, Mwache Diamond aendelee na Kaz yake ya mziki ana uwezo mkubwa sn ktk fani ya mzki lkn Sio siasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Aureus Ndimbo

    Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

    Nipo interested. Vip stablizer inahitajika? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Aureus Ndimbo

    Natafuta kazi. Tafadhali naomba Msaada kwa hili

    Una taaluma gani Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Aureus Ndimbo

    Natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya shuleni na ofisini(Stationery)

    Sifa *'Awe amesma kompyuta walau kwa kipind Cha miezi si chini ya mitatu *Awe na umri wa miaka 18 had 25 *Awe mtanzania * Awe tayari kufanya kaz kijijini *Jinsia yoyote lkn wasichana watapewa kipaumbele Nafasi Ni moja tu kwa mawasiliano 0657576122 Ni PM utajibiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom