Recent content by Aunty kemmy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hili

    Nataka kuanza biashara ya kutengeneza na kuuza unga wa lishe kwa watoto na wakubwa. Sasa changamoto nilonayo ni pa kupata vifungashio vya unga. Na pia soko lake nalifanya vipi ili niuze unga wangu vizuri. Na je process zikoje ili nipate vibali vya kuuza kwenye supermarkets. Any idea?ntashukuru
  2. A

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mimi huwa kuna ndoto nikiota zinatokea kwel lakin mara chache sana. Na ndoto hizo zinakuwa zinanionesha kitu kibaya kitatokea kwangu na kwel kinakuja kutokea vilevile mpk najuta kwanini sikufata ile ndoto.Nikimkumbuka mtu au nikimuwaza na yeye lazima atanikumbuka atanipigia simu au nikakutana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Habar jf Jaman naombeni kuuliza kuna yeyeto anayepajua mbweni kialaka? mwenye kiwanja uko nataka kununua
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri...nataka kununua hisa

    Habari wanajf...Naombeni mnishauri katika hii kitu ya kununua na kuuza hisa. Nina kama milion 5 nataka nijiingize katika ununuzi wa hisa. Nimesikia makampuni ya simu na mengineo yanauza hisa. Lakini sina uzoef kabisa katika hii issue.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Karibu upate uyoga mbichi na mkavu

    Darasa nalipata wap?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Navutiwa zaidi na mume wa mtu, nifanyaje niache hii tabia?

    Sasa unacomment nini kama unaona sifai kupewa ushauri. Malaya anamjua malaya mwenzie
  7. A

    JamiiForums Tanzania Karibu upate uyoga mbichi na mkavu

    Uyoga unatengenezwa vipi.naomba kupewa somo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    Viwanja vyako vina ukubwa gani? Sh ngap?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    Kimepimwa. Je kina hati au?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    Hicho kiwanja bado kipo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mnaozaa na waume za watu Mungu anawaona

    Yan umeongea point sana hakunaga mume wa mtu kuna mke wa mtu tu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Bora ucheke uachane na mambo ya kumchallenge Mungu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Umetum umetumwa nini
  14. A

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Umetumwa nini
Back
Top Bottom