Recent content by Aunt Lisa

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

    Duuuuuh the world aint fair.. Mmoja anagaramikia mwingine anagonga tu!
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single this valentine

    Well thank you for the ideas.. Ngoja nizifanyie kazi!
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single this valentine

    Sheeeeder kabsaa!
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single this valentine

    Habari wana Jamii forums. Mimi na wakuu wengine wengi this valentines tupo single, bwana hebu tupeni ideas on what to do to make it special kumbuka valentines sio kwa wapenzi pekee yake. Natanguliza shukrani.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Ahsanteni Wadau.. Ub 16 Ahsante Kwa Clip Ntampa Fundi Aiangalie.. Mpinga Shetani Ntalifanyia Kazi Mdau!
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Ahsante Mkuu!
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Mkuu- Mfuatiliaji Niiliacha Imehibernate!
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Ahsanteni Wadau Chief Mkwawa Na Mfuatiliaji Ngoja Nitafute Fundi Anifungulie. Mungu Awabariki. Naamini Utapona!
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Habari Wadau, Jana Usiku Mvua Kubwaa Ilinyesha Sasa Mimi Nipo Chuo Nikaacha Laptop Ya Dell Vostro 1540 Nyumbani Karibu Na Dirisha! Dirisha Lilikua Wazi Mvua Ilinyesha Masaa Mawili Consecutively Kurudi Nilikuta Imelowa Maji Yanatoka Kupitia Ports Za Usb Na Fans. Nakumbuka Wakati Nimeiacha...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Mapenzi: Akatwa kichwa na kisha kuchemshwa katika sufuria kwa kudaiwa kupora mke wa mtu!

    Mke Wa Mtu Ni Sumu Usijaribu Chombezaa... Mungu Atuepushie Mbali.. Very Sad Indeed!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Tuwe Makini Na Tunaowaita Wapenzi Wetu

    Habari Wanajf.. Hii Habari Nimetoa BBC Swahili.. Wanawake Tuwe Makini Na Tunaowaita Wapenzi Wetu.. Polisi nchini Austria wanawahoji wanawake ambao wamehadaiwa na mwanamume mwenye mazoea ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengi tu. Mwanamume huyo raia wa Gambia mwenye umri wa...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

    Mie hua namfantasize raisi mwenyewe.. Hahahaa how I wish...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ungepewa Second Chance Urudie Ujana Kipi Ungetamani Ukibadilishe?

    Poleeee saana mdau.. Pombe ni mbaaya saana pale inapocontrol maisha yakoo..
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

    Unaposema tumekaa kisa kishoga wamaanisha nn?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ungepewa Second Chance Urudie Ujana Kipi Ungetamani Ukibadilishe?

    yeah i know hw it feels when yu loose it to someone who cares less..
Back
Top Bottom