Recent content by Augustleo

  1. Augustleo

    Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

    Nunua gari, nyumba tunabomoa sahivi
  2. Augustleo

    Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

    Unazingua mwanaume unatakiwa umface direct unayempa ujumbe nansio kuja kuandika vijembe umu JF. Man up
  3. Augustleo

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    Kama kunamtu aliyewai kupata mafunzo ya kazi tra Je kuna malipo yoyote? Malipo hayo hufanyikaje Maana nimetoka mkoani nimefikia gest apa mjini alafu sielewi utaratibu wowote.
  4. Augustleo

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Ndoto za alinacha kuacha kazi kujiajiri labda kama unalipwa mshahara chini ya 200k
  5. Augustleo

    Afisa msaidizi wa Forodha TRA, Jennifer Mushi afikishwa Mahakamani kwa kumiliki magari 19 na kuishi maisha ya kifahari

    Ndio honey faith. Siunajua mjini vijana wadogo ndo kiki. Kula mshahara huo tra
  6. Augustleo

    Afisa msaidizi wa Forodha TRA, Jennifer Mushi afikishwa Mahakamani kwa kumiliki magari 19 na kuishi maisha ya kifahari

    Honey faith yote tisa kama iyo miguu ni yako naomba nikupe mshahara wangu wote wa kwanza. Njoo pm
  7. Augustleo

    Very sorry Eliza, I lied to you huu ndio ukweli

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Augustleo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kukomenti ndo mpango
  9. Augustleo

    KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

    Tarehe inakuruhusu kaka. Ubarikiwe kwa kututamanisha
  10. Augustleo

    Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

    Elimu yako haijakusaidia mdau. Samahani kwa kusema ivo kwanza. Upo kwenye utumwa wa kifikra emancipate yourself from mental slavery. Haya madhehebu ya dini uliyoletewa na mkoloni ni mfumo tuu ulioandaliwa na some elite group of people "divide and rule" hutumuka ata kwenye siasa. Ukimpenda mtu...
  11. Augustleo

    Members wa JF wote wana maisha mazuri kasoro mimi tu..!!

    Jifunze kushukuru atleast unapumua, umekula leo mchana, una smartphone na umeweka vocha kuingia jf. Be grateful maisha ndo haya haya. Kama kunasehemu wanauza bangi karibu vuta ili u appreciate ulichonacho kwanza.
Back
Top Bottom