Katika hotuba yake aliahidi kuwa na baraza dogo,makini,litakalo ondoa urasimu na la wachapa kazi.
Watanzania tusipende kupongezana tu Kinafiki, tuwe wazi na wakweli, Je baraza hili ndilo dogo alilokua anamaanisha? Au tunasifu tu bora siku iishe? Je kweli kwa mtu kama Shukuru atafanya lipi kama...