Recent content by Augustine kavishe

  1. A

    JamiiForums Tanzania Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    tuna haja ya kufanya hivyo walimu kwa kuwa tunaipenda Tanzania.Hivi niulize swali, kwa hali inavyoendelea katika taifa,mfumuko wa bei,kupanda kwa gharama za maisha. Na hakuna juhudi zozote zinazochukuliwa kukabiliana na tatizo hili, Je! Tukiwapa tena miaka mitano itakuwaje??? Tunataka mabadiliko!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    natamani sana hata ningekuwepo enz hizo mazingira yalikuw yanavutia sana tofauti na sasa dah! Mungu ibariki Tanzania
  3. A

    JamiiForums Tanzania Unasemaje neno nakupenda kwa kilugha cha kwenu?

    ngakkunda chagga one
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna sadaka zinahesabiwa kanisan KKT mpaka saa nane usiku jamani? Kweli ndoa ndoana!

    daaah! Kama ndoa ni hivyo mm akah! Bora nichukue tahadhari mwenyewe.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

    Tutambue siku zote msema kweli hapendwi popote, Utaendelea kusema na kunena kwa ushabiki lakini mtu mwenye akili inakupasa kuangalia ukweli wa mambo na namna utakavyoshawishi watu namna ya kuendeleya nchi na sio kutoa hoja zisizo na msingi. Kama mtanzania uliesoma inatakiwa utumie hata elimu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa ripoti ya ugaidi Tanzania yasifiwa sana.

    Tukubali kudanganyika tu hakuna lolote tatizo makosa yanayotendeka hayaonekani lakini yana mahafa mengi ambayo yanachukuliwa kirahisirahisi na yanapotezewa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Naibu Waziri watajwa mauaji ya kamanda Liberatus Barlow! Shuhuda ahifadhiwa kwa IGP Mwema...

    duh! Hii ni Tanzania inayoshika nafasi ya juu kwa kuwaua wanaofichua maovu kwel IGP ana kazi mwaka huu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    Tuache uchochezi usio na msingi tunaomba source uchunguzi ufanyike tujue ni wakina nani na kwanini kama ni gesi sawa kabisa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    acha kubuni fanya uchunguz mr kuwa kama msomi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

    hello communiters
Back
Top Bottom