Recent content by Augustine Genius

  1. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Um Umejichosha kwa kupiga pass nyingi golini kwako unakumbuka kushambulia muda umeisha
  2. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

    Kwa hiyo picha aliyoweka haiwezi kuwa Torpedo SP tablet. Picha inaonesha hiyo dawa ina shape ya pessary au suppository(inatumika kwa kuchomekwa kwenye vagina/anus). Torpedo SP tablet ni combination ya dawa tatu(Aceclofenac+Paracetamol +Serratiopeptidase) zinazotibu maumivu na shape yake ni round.
  3. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

    H Hizo zitakua ni GYNEX PESSARIES ni combination ya Clotrimazole+Miconazole ni kwa ajili ya matibabu ya Vaginal infections like Vaginal candidiasis, Trichomoniasis, Bacterial vaginosis.
  4. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Kama wewe "Saint" unalizwa na mapenzi vipi kuhusu sisi tunaoomba kupitia "Masaints?😀
  5. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Fred Kiluswa afariki Dunia

    Ukijua sababu ya kifo chake utamfufua?
  6. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

    Nipo Mbeya Mjini naipataje hii decorder?
  7. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

    Je,ikitokea amekufa itakuaje?
  8. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga awatembelea wanafunzi akiwa ametinga sare za shule

    Alikua anaangalia "Nyashi" ya Mheshimiwa 😅
  9. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Saa moja na dakika 17

    Kunywa maji mengi, pia usisahau kula na matunda.
  10. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Saa moja na dakika 17

    Hujachanika Mkuu? But Pole sanaa kamanda😊
  11. Augustine Genius

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo unahitajika sana

    Hakika watu wafupi Ubongo upo chini sana.
Back
Top Bottom