Kwa $2500 tu unauhakika wa kumiliki BST 1000 na ukaenda Dubai 🛫 kwa siku 4 utashukia 5 ⭐ Hotel utakutana na CEO wa project ya Beastborne Ecosystem 🎯
Uta experience vitu lukuki kwanzia mwanzo wa safari mpaka mwisho na ukiwa ndani ya Dubai.
Nina uhakika utakula vyakula ambavyo hujawahi kula pia...
Unaweza kuichambua Pdf yenye page 40 hapa kwakuandika?
Embu tuwe waelewa kama tunahitaji kujifunza kitu tunahitaji kuonyesha ushirikiano sio kwakutaka kile tunachohitaji tukipate kwa njia tuitakayo sisi.
Unafahamu Teknolojia ya Blockchain mkuu??
Kama ndio unaweza kutambua juu ya sarafu za kidijitali.
Lakini kama hujui ni inbox 📥 nikupe mawasiliano upate Elimu hii kiundani...🤝
Hata jeshini hakuna treatment ya uoga hata kama umezidiwa unaambiwa tunza risasi moja kwaajili yako ukiona yamekufika shingoni kuliko uwe kwenye mikono ya adui na kuteswa na kutoa siri za plan zenu bora kujilipua.
Maisha ni zaidi ya kile tunachokijua hatupaswi kufunga vioo kwakuona maarifa...
WANAUME AMBAO HUFANIKIWA KATIKA BIASHARA, KAZI NA MAISHA...
Ni wale tu ambao hukubali kuishi tabia hizi 7
1. WANACHUKUA HATUA.
Wasiofanikiwa Wengi wana ndoto, hupanga malengo na kuyaongelea lakini hawafanyi chochote.
Wanaume Wanaofanikiwa Hawasubiri wakati sahihi, Wanachukua hatua...
Ndugu katika maisha Elimu haipigwi teke ni bora ungejua ni kitu gani unachoki-ignore
The power of Blockchain technology gives you the freedom to make and receive money anytime, anywhere in the world.
Tanzanians are accustomed to being the end consumers of everything, which is why we have to...
Mimi siendi kuwaletea maendeleo mm ninachokifanya ni kukupa taarifa na namna ya kuzifanyia kazi taarifa hizo na utafiti ukiona inafaa kwa upande wako utajikomboa ukiona haifai basi wewe sio mteule unaweza kuendelea na Shughuli nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.