Recent content by AUDI2013

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu wa gari aina ya Subaru Impreza

    Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vyeti kuungua moto

    ndugu zangu kwa hili la lamination msidanganywe...mimi vyeti vyangu vyote ni laminated, na nimetipia sehem nying wkt natafuta kaz, ikiwepo mahakamani, na mwisho nilipata kazi serikalini kwa kupitia procedure zote nikiwa na vyeti vyangu laminated bt sijawahi hata kuulizwa badala yake nilikua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bank inayotoa mikopo kwaajili ya masomo ya Masters

    wakuu naomba mwenye information za kutosha anisaide hili: ni bank gani hapa Tz inayotoa mikopo kwa wanafunzi wanaohitaji kwaajili masters degree, na vigezo ni vip? TAFADHALI!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkinga na hoja zake juu ya waalimu

    alishawahi kua mwalimu, tena wa primary...naona hoja zake zina msingi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Moshi vijijini: wilaya yenye utofauti kidogo na nyingine..

    maendeleo ya mkoa wa kilmanjaro yameletwa na wakazi wa huu mkoa wenyewe, hakuna cha ccm wala nini....hiyo ccm ndo imetujengea mpaka nyumba za kuishi?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    mkuuu nakubaliana na wewe 100%
  7. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema bado ngoma nzito, makada wa CCM Arusha wazidi kumng'ang'ania

    kweli we ni kubwa jinga
  8. A

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Ray iitwayo 'Sister Marry' yapigwa marufuku na maaskofu

    mbona unamtukana mkuu? kwani kataja dini yoyote hapo?
  9. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA;NINA mil.3,NATAKA KUWEKA DUKA.

    fanya biashara unayoipenda...so kama unapenda duka then fungua duka.
Back
Top Bottom