Ndio tatizo la watanzania vitu vya msingi tunaleta utani mwingi, ametoa dira not necessarily ufuge unaweza umuulize other activity, cost analysis, market na mambo mengine, lets be positive once in atime, nashukuru mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai ya kizungu ila wa kienyeji nilikuw nao pia wakafa...
yalivyo majinga eti mtu anathubutu kabisa kutamka eti tusikuone kwenye posho its as if wapo pale kwajili ya posho na sio maslahi ya wananchi waliowatuma,yani hiki chama sijui kitakufa lini am tired of it already
jana nilikuwa njiani kutoka kasulu kuja mwanza ila safari ilikuwa iwe ya leo baada ya juzi kukosa basi la golden inter city nilitaka nihairishe safari nije leo na hilo basi, namshukuru mungu kwa hili pia nawapa pole hao ndugu zangu yani hiyo njia sijui serikali iko wapi mi sielewi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.