Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON.
McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema imerejesha utaratibu wa awali wa ununuaji wa tiketi wakati maboresho ya mfumo mpya yakiendelea kufanyiwa kazi.
“Simba dhidi ya Young Africans upo kwenye mfumo na mashabiki wanaweza kununua tiketi”
Kaimu Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt. Gwajima alitoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa visa vingi vya mauaji, vingine vikidai kuwa ni wivu wa...
Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii.
Moja ya hivyo ni Tongoni.
Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
Leo tunajua kwamba tarehe 9 December 1961 Tanganyika ilipata Uhuru.
Tunajua Nyerere alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza. Tunajua bendera ilishushwa na ya Tanganyika ikapandishwa. Lakini kuna swali moja ambalo historia ya vitabu mara nyingi hailisimulii kwa undani:
Tanganyika ilikuwaje siku moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.