Recent content by ATUGLORY

  1. ATUGLORY

    Shirika la World Vision Tanzania linaangamia kwa Rushwa, unafiki na Uongozi mbovu

    Mmmh Hayo nayo maneno, Isije kuwa mwanzisha Uzi ni mmoja wa wapiga Dili mliofukuzwa World Vision hivi karibuni Ukaamua kuleta machungu yako kwenye Jamvi!
  2. ATUGLORY

    Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

    With due respect, I would replace 'Sustaining' instead of the underwritten word, Otherwise I concur with a substantial point you intended to deliver!.
  3. ATUGLORY

    Zitto: Taifa moja, nchi moja na serikali 3 zinawezekana tukiamua

    My take: Zitto seems to adopt the old wisdom thus 'If you cant defeat them, Join them'.
  4. ATUGLORY

    Sababu za kutonunua Kazi za Wasanii waliojiunga na CCM

    Badala ya kufanya hayo uliyoshauri, tutaendelea kuwaadhibu wasaliti wote kwa kustrike lethal blows at our pleasure, kila tutakapotaka na siyo kwa maelekezo yako.
  5. ATUGLORY

    Sababu za kutonunua Kazi za Wasanii waliojiunga na CCM

    Naunga mkono 100%, piga chini kazi za Wasaliti, A friend of My enemy is my Enemy.
  6. ATUGLORY

    Nje ya siasa hawa akina Lema, Wenje, Mnyika, Slaa and co. si watakufa njaa!?

    Good analytical???!! Heshima mbele, ila ulitaka kumaanisha nini kwa hayo maneno niliyobold??!!!
  7. ATUGLORY

    CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

    Cheyi, indeed the man is right and you are without doubt right, Shana wenene omukigambo 'Okumoka, abomuka bakweta roaring, mbwenu iwe, oyenzire kugamba entare Y'omuka, rwona nikwo kugamba Entare Ya kibeta, byona amoi entare yamoka naitwe twagihurira! Wakola waitu omushongole!!
  8. ATUGLORY

    Kwanini kodi ya sim kadi inapingwa

    Nadhani sababu kubwa ni kwamba hiyo kodi inawagusa moja kwa moja na kwa uwazi kabisa wananchi (wapiga kura) walio wengi hivyo Serikali haiwezi ku-afford uwepo wa beef la hivyo kati yake na majority, wapinzani wameseize opportunity hiyo na kuanzisha ligi kati ya serikali na wananchi walio...
  9. ATUGLORY

    Serikali iwe moja na iitwe Zanzibar, capital iwe ZNZ Town kama ilivokuwa 1700s

    Sisi tunakataa ukoloni wa aina zote, hatukatai ukoloni wa Wajerumani na waingereza tuu ili kuuthibitisha ukoloni wa waarabu, yaonekana wewe una ajenda ya kuukataa ukoloni wa waingereza na wajerumani ili uturudishie ukoloni wa Waarabu ambao ni mbovu kuliko huo ukoloni wa waingereza, tunakataa...
  10. ATUGLORY

    CHADEMA wazidi kudhihirisha wanavyoshiriki matukio wa kuwadhuru watanzania

    Hiyo ya Uliberali wa CUF nimeikubali, Samahani naomba kuuliza hivi maliberali wana msimamo gani kuhusu masuala ya ndoa? Tuelimishane tu!
  11. ATUGLORY

    Mama Salma Kikwete is the best Tanzania first lady ever

    Nadhani jibu ni rahisi, yaani bila shaka ni siku ile mume wake atakapopata Urais!! na Nimepata.
  12. ATUGLORY

    Mama Salma Kikwete is the best Tanzania first lady ever

    Hiyo makerere nimeikubali:mwaaah:
  13. ATUGLORY

    It is official: Ccm bado wameamua kuendela kuizika tanganyika

    :mad:Sasa ni wazi, CC ya CCM imeamua kuendeleza ubabe kwa kupinga uwezekano wa kuanzishwa serikali ya Tanganyika, Nilidhani wameridhia hiyo hoja maana Rasimu ilitakiwa iwe imepitiwa na wakulu na kupata Baraka zao, kabla ya Kutolewa hadharani na Mh. Warioba. Wakuu tuanze kujiandaa jinsi ya...
  14. ATUGLORY

    SHIVJI: Utatanishi na Ukimya wa Rasimu ya Katiba Mpya (Recorded)

    Maoni yangu ni kwamba wana Tanganyika wanaitaka Tanganyika yao, Shivji na wenzake wanaotaka kuififisha hoja hiyo kwa vitisho dhaifu kama gharama za uendeshaji na uwezekano wa kuvunjika muungano wafanye hivyo wakijua kuwa watanganyika hawawezi kudanganyika kiurahisi kiasi hicho, Kuhusu gharama ni...
  15. ATUGLORY

    Serikali tatu ndio dawa ya muungano!

    Nakubaliana na wewe kabisa, tukiishapata serikali tatu tuanzishe part 2 ya mjadala wa jinsi yakuendelea kuungana na Zanzibar, namaanisha jinsi ya kuifanya Zanzibar kuwa WILAYA mojawapo ya Tanganyika.
Back
Top Bottom