Unakosea mkuu nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi bank na alikuwa anamsifia sana meneja lkn nina uhakika hajawahi kumla! Wakati mwingine ni maelewano mazuri tu!!
Mwishoni mwa mwaka jana familia yetu ilipata furaha na kuyashuhudia matendo makuu ya Mungu ni baada ya dada yetu aliyekaa kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 bila mtoto kubarikiwa na kupata mtoto.furaha hii imeyeyuka ghafla baada ya miezi 6 tu mtoto ameugua na hatupo nae tena.ameondoka binti yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.