Recent content by Atufigwege Kilindu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nyoka Mkubwa avuka barabara

    Duuh Mi napita tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mbona binti yangu anaelewa vya nje ya darasani tu?

    Mkazanie broo kwa kumtafutia vitabu vya picha na chonga vibao au mpe manira na pendi za rangi mbalimbali
  3. A

    JamiiForums Tanzania Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

    Akutumie namba ya kidato cha nne na password umsaidie haraka maana nafasi zimeaki chache labda kama anataka akafunishe special needs
  4. A

    JamiiForums Tanzania Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

    Yeah nimekupata mkuu. Nimekuuliza hivi sababu baadhi ya vyuo kana JORDAN kinawataka 1st year kuripoti tarehe 22september 2014
  5. A

    JamiiForums Tanzania Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

    Majina ya walio chaguliwa shahada ya kwanza lini?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sitta awafananisha viongozi wa ukawa kama waigizaji wazuri

    Sitta amedai kuwa baadhi ya viongozi wa ukawa wamesema wamtampeleka mahakama ya kimataifa, Akizungumza leo hii baada ya utambulisho wa wageni bungeni akawafananisha viongozi wa ukawa na waigizaji wazuri maana yake hawafanyi kweli isipokuwa ni danganya toto. Source bunge la leo asubuhi kupitia TBC
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

    Duuh! mi napita tu, ila nimejifunza mengi maana nilikimbia History, sasa leo nimejua
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Almost wote wapo sahihi sasa kilichobaki ni kuangalia kama fursa hizo je zipo katika mazingira yako na je ni profitable kwa kiasi gani maana yake fanya feasibility study kwanza.Nakutakia tafakari njema
  9. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

    Ni ukweli usiopingika, hatahivyo binafsi nishughuli mojawapo ninazo fanya. Lakini shida watu wengi hawajalitambua hili, na maana ya kuleta uzi huu nikwamba tuelimishane kwa kina, kama ni kilimo basi tuzungumzie kiundani. kama ni biashara nk.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

    Yap! ndugu nimekupata vilivyo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiajiri na kutengeneza ajira

    Heshima na tahadhima natanguliza kwenu wadau, JF, ni sehemu iliyo saidia sana kukuza akili ya kiuchumi. Sasa ninawaomba watanzania wenzangu, tujadili kwa kina suala la NAMNA YA KUJIAJIRI NA KUTENGENEZA AJIRA. Kama nyenzo mojawapo ya kupambana na tatizo la ajira nchini, maana hali kama ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msichana wa duka

    Dogo mi namtafuta mtu wa kuuza duka langu Eneo; Morogoro nanenane.kakini ingekuwa vizuri ujieleze vizuri, hasa sehemu unapo toka
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya kiwanja na ng'ombe kipi kina maslahi zaidi?

    Nunua shamba, baada ya mwaka utapata zaidi ya mara kumi ya initial cost lakini ng'ombe ni probability alafu wanahitaji matunzo
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mulugo vs J. Mhagama.

    Mr.DZUDZUKU, mi nakataa kabisa, licha ya kuchemka Mungano, bado hakutumia hekima katika sekta yake, ebu kumbuka majibu yake kwa wale vijana waliokosa mikopo 2013. Ingawa anaye kuja simfahamu vizu, pengine ataweza kido, hasa ajitahidi kusema na kujibu kwa hekima, Mh.Mlugo tumemfahamu kwa kusema...
Back
Top Bottom