Recent content by Atubela

  1. Atubela

    Tv E hamna mkoa unaoitwa Songea

    Kama kusema mkoani Bukoba au musoma au mkoani Moshi Badala ya songea mkoani Ruvuma au Moshi mkoani kilimanjaro au musoma mkoani Mara
  2. Atubela

    Mawaziri hawa Mtaani huitwa Mashine Za Mama Samia.

    Dr Gwajima anachamba huyo utadhani kazaliwa Buguruni
  3. Atubela

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Abdallah Hassan Eneo la tukio ni mtaa wa Sima nyuma ya shule ya msingi Mzigu, kwenye nyumba za kilimo Wilaya ni Nyamagana Namba ya simu........ Tatizo ni waya kukatika Tika siku ya alhamisi tarehe 24 Namba ya taarifa ni 0783722610 Mwanza
  4. Atubela

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Waya upo wazi Tanesco Mwanza naomba mlitambue hili
  5. Atubela

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Mwanza mnachokifanya sio uungwana hapa barabara ya SIMA mtaa wa Mgunda tumewapa taarifa tangu siku ya alhamisi waya umekatika upo chini hapo pembeni kuna shule ya chekechea Kila mkipigiwa simu majibu yenu ni "Asante kwa taarifa tunashughulikia swala lenu" Waya wenyewe upo wazi
  6. Atubela

    Waziri Kalemani fika Kibamba uondoke na Meneja wa TANESCO, tumememchoka

    Medard Kalemani=Shukuru Kawambwa Vyeo vya kupeana mpwa na mjomba
  7. Atubela

    Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

    Yaani wewe kweli kiazi Inaonekana umepata akili kipindi cha JPM Nikukumbushe Kipindi unaona hilo tukio ilikuwa hivi Bahada ya Mrisho Gambo na DC wake kumwagwa na Idd Kimantha kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa na Kihongosi kuteuliwa mkuu wa wilaya Mkuu wa mkoa alipomaliza kula kiapo kwa rais ndio nae...
  8. Atubela

    TANESCO tuambieni nini kinaendelea huko Mbeya maana umeme kukatika imezidi sasa

    Yaani kama unajibu hoja kirahisi hivi ni bora ungekaa kimya tu Hauwezi kusema"hilo tumelitolea taarifa leo kupitia clouds fm kipindi cha asubuhi" Are you serious? Ni wangapi wamekaa na kuisikiliza hiyo clouds fm? Na tatizo limeikumba nchi karibu yote Au hiyo taarifa mmewapa wanaosikiliza clouds...
  9. Atubela

    LATRA imeanzisha utaratibu wa kukata tiketi kwa njia ya mtandao ambayo si rafiki

    Mbona simple tu Kampuni kama ina mabasi matano wanatoa mawili au moja kwa latra ili abiria wanunue ticket kwenye mfumo Au hata kama bus ni moja unaweza kutoa siti either 5 kwa LATRA ili ziingizwe kwenye mfumo
  10. Atubela

    Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

    Kuna utofauti kati ya waziri mkuu na ofisi ya waziri mkuu Kama haya yameidhinishwa na waziri mkuu hapo sawa Kassim Majaliwa inamhusu moja kwa moja Kama yameidhinishwa chini ya ofisi ya waziri mkuu hapo wa kuwajibishwa ni watendaji wahusika, Pamoja ya kuwa ni watia sign walivyoona mkwanja huo ni...
  11. Atubela

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Kusema kweli yule dogo mhandishi wa habari alitakiwa kwanza awasiliane na mkuu wake wa kitengo Kule ofisini kwake ndio wangemtafuta mkurugenzi Shida ya dogo kakurupuka kumpigia mkurugenzi wakati bado hadhi yake ndogo Ushasikia wapi akina Abdallah Mwaipaya wamejibiwa mbovu Hapo ilikuwa...
  12. Atubela

    Zaburi tuliyosomeshwa na Halima Mdee hai-support kabisa

    Ulivyoona jina Halima ukajua ni muislam? Jina sio dini Kalagabaho
  13. Atubela

    Kupanda ghafla kwa bei ya saruji

    Machinga anajulikana Kama mfanyabiashara ndogo ndogo, either kwa kutembeza mtaani au kukaa sehemu moja Huyo unaemdhamilia hapo ni mkuli au mbeba mizigo
  14. Atubela

    Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Ninekusaidia mtoa mada mie nipo njiani kila siku nayajua vizuri magari ya njia ya dar to mwanza
Back
Top Bottom