Recent content by Attainer Jr

  1. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu ya wazinzi

    Washa VPN
  2. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

    Kuna kamsemo kanasema, ""The older the berry the sweeter the juice"
  3. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

    Kumbe watu wanafanikisha haya, nilijua chai tu!!!!
  4. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

    Sasa kama hii si unaifunika na mto kisha unaendelea na yako 😃😃
  5. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Mnaovutiwa na warembo wa JF mlifanikiwa kuwapata?

    You will never walk alone
  6. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna muigizaji wa Kikorea anaweza kuigiza character ya Ujambazi kama huyu baba?

    Nenda katazame movie inaitwa I saw the Devil then uje utengue hii kauli yako.
  7. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Mkuu ungespecify model ya Nissan Xtrail na mwaka husika wa Nissan ambao ni umekuta sokoni zinauzwa sana, hiyo ndiyo tungejua tatizo liko wapi
  8. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

    Hembu tupe jina la huo mtaa kwanza
  9. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

    Vigezo ulivyovitoa vinatoa vinampa kiburi mwanamke husika na kujiona muda wowote atapata achokihitaji. Na kukaa na kiumbe wa vigezo hivyo lazima uwe na moyo wa ujasiri sana. Always men are there to rule and not to be ruled na hapo ndiyo mambo yanapoanza huharibika hiyo Sheria ikienda ndivyo sivyo.
  10. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Kupata tunda ni akili tu

    Kwenye negative things kama hizi huwa nyepesi sana kuzikamilisha ila positive things kama ajira huwa lazima upambane sana ili ukamilishe jukumu la kuipata
  11. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Hata ambao wana cheti husika na kazi hawana.
  12. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Nilichokiona kwenye maandishi yako ni hiki. Umepitia kwenye maisha yenye mapito magumu, na umefanikiwa. Una ka uselfish flani ambako kwakuwa ulipitia magumu basi hata ulichokipata hutaki sharing nanukuhu, " Hutaki kuingia kwenye ndoa kwa sababu hutaki kugawana mali". Huwezi jua utakayempata...
  13. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Niffer unatisha! Anatembelea Range ya milioni 160

    U celebrity unatumika kama daraja tu. Wanatumika sana hawa
  14. Attainer Jr

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

    Hahaha, hakika huyu ni Novice kama angekuwa Pro asingeuliza haya maswali
Back
Top Bottom