Recent content by ATM96

  1. A

    JamiiForums Tanzania Dunia inavyoenda, usije shangaa siku moja Katuga akatetewa na LISSU Mahakamani

    Ni kweli kuna mtu aliamini polepole atasurubiwa na CCM
  2. A

    JamiiForums Tanzania Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

    Mbona hili jambo la protector umelivalia njuga?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

    Hii inakaa siku mbili ukiwa na matumizi ya kawaida
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Waacheni wale kulingana na kamba yao ni fupi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Dhuluma wanafanya sana msije mkasema nimeanzisha uzi kuwachafua waislam jaribu kufaatilia hata ulipo ukijaribu kufaatilia kwenye viombo husika watahonga hela utazungushwa mpaka unakata tamaa ili wenzako wasiwe na nguvu ya kufatilia au kudai
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Hata kobazi wenzao wanapitia hali mbaya sana utasikia viongoz wajuu wanawambia shekh piga kazi Allah atakujaalia yaan ni vitu vya ajabu sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Sjaisingizia viongozi wajuu wa taasisi zao ni watu wabinafsi sana utakuta wananunua magari ya gharama huku watumishi wao hawawalipi kama wanafunzi wanaishi mazingira ya hovyo chakula ndio usiseme
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Hayo sio mambo yao kwasababu wanaofanya kazi kwao ni watu tofauti wanawazulumu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mgahawa wangu mambo yalikuwa mazuri, ghafla imedoda, nifanye nini biashara irejee kwenye mstari?

    Mbinu ni kumkabidhi Yesu biashara yako nae atailinda
  11. A

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Kawasadie kufanya kurusha hujui kama uwezo hawana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Sasa umeanza uchokozi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Ila kobazi akili zenu mnazijua wenyeewe
Back
Top Bottom