Recent content by Atimachie

  1. Atimachie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, unaweza kufunga kizazi (vasectomy) kama njia ya uzazi wa mpango?

    Inawezekana...Ila kama njia zote za uzazi wa Mpango zanamsumbua mke wangu kiafya
  2. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kufanya Dhambi ni rahisi kuliko kufanya mambo mema?

    Duuuu in advance?? Je tutende dhambi sababu neema ipo??
  3. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kufanya Dhambi ni rahisi kuliko kufanya mambo mema?

    Hivi ni kweli tumekalilishwa Kuwa Dhambi ni mbaya??? Na ukubwa wetu huu?? Daa
  4. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kufanya Dhambi ni rahisi kuliko kufanya mambo mema?

    Kwanini ubomoe wakati ulijenga kwa nguvu na jasho jingi
  5. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kufanya Dhambi ni rahisi kuliko kufanya mambo mema?

    Hivi ni kwanini kufanya DHAMBI ni rahisi sana kuliko kufanya mambo MEMA?
  6. Atimachie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tabia ya kuwaambia wanaume wakaoge ndipo mfanye mapenzi

    Sio mpaka uambiwe,INABIDI MUOGE WOTE KABLA YA KIBABA BABA NA KIMAMA MAMA
  7. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha,ila mchicha haujawai kuwa mbuyu,..Endelea KUHISI.. Alafu Dec tulete bank statement zetu hapa.. za wewe Muandika B.plan, Nasisi Tunaosema kuandika B.plan ni UZWAZWA
  8. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Kiukweli B.plan haina uhalisi wa ukweli kwenye biashara, B.plan ni kama kula BigG mwanzo tamu mwishoni Inabaki mpira tu,Biashara ni kuanza then jiimalishe katika Marketing skills na Sales methods tu. Matajiri tushaelewana,Maskini bado wapo gizani..
  9. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Hahaaaaaaa ndio maana kuna watu wamekuwa wakali sana humu ndani,Ni hii ndio maana maskini wameendelea kuwa maskini wakutupwa,Kwa sababu wanafundishwa kufanya vitu ambavyo haviwezi kukuza biashara zao hata kidogo.. Wenye Akili Tunaelewana haraka sana,Ila walio kalili hawawezi kuelewa kabisaaa.
  10. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Bila shaka wewe ni mmoja unaowaibia watu kwa kuwauzia business plan:p:p:D.. Achana na vi BP.. Anza biashara, Utapeleka BP (business plan) yako inayoonyesha faidaa kubwaa bank/saccos ili upate mkopo,NAKUAMBIA UTAUZA KANYUMBA KAKO KAMATOPE .
  11. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Wachache sana wanaoweza kuelewa hii kitu,Hapa panaitajika mtu mwenye afya akili #TheChoji
  12. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Kuandika business plan ni kupoteza muda

    Kumekuwa na mafundisho mengi yanayosema ni vizuri kuandika busines plan kabla ya kuanza biashara/mradi,Lakin ukifuatilia kwa undani hakuna business plan hata moja ambayo huwa inaonesha kipindi cha hasara,Na ukifuatilia biashara nyingi hufa ndani ya mwaka wa kwanza,Na wakati huo mtu ana business...
  13. Atimachie

    JamiiForums Tanzania Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    sinyoritah Pamoja,
Back
Top Bottom