Recent content by athumhina67

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Inawezekena afya ya mzee ilibana. Mbona hata mboe akiahiridha alikuwa anasikika?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Kumbe ni kiongozi aliyekuwa anaratibu idara ya ulinzi. Chaka liko wapi? Mungu kamuongoza kuachana na nguvu za giza
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye UKAWA wamkubali Magufuli!!

    Tatizo la ukawa rais atakuwa mchafu na serikali yake itakuwa chafu kwa sababu aliyowabeba nyuma yake ni makapi ya ccm (wachafu). Kwani kitendo cha lowassa kuwatafutia majimbo makapi wenzake ni ukweli kuwa ndilo tarajio la serikali yake. Magufuli ni msafi na walionyuma yao ni wasafi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Mhe. Magufuli kauza nyumba na akajenga NYUMBA zaidi lakini Lowasa amefisadi Nchi akaleta nini? Hivi Chadema/Ukawa watakuja na point gani? Hivi Gamba/Fisadi watatohoaje maneno haya? Hivi uchungu wa ukawa kwa wananchi ni kuuza nchi kwa mafisadi? Kwa maana hii, lowassa/ukawa wakikosa urais uamuzi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Hivi dr. Slaa na tundu lisu wamo kweli kwenye vikao hivyo? Lini gamba limekuwa kiwiliwili na lini fisadi limekuwa fukara hadi chadema/ukawa ikawa mtaji kwao?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Lowassa kuiangamiza CCM

    Huo mkakati ungefanyika kwenye mkutano mkuu wa ccm kwa kutoa kura za 'malohani' watanzania si chapati kukigeuza upendavyo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Kweli chadema/ukawa mmenichanganya, hivi mhe. Tundu lisu yupo kweli? Mbona magamba na mafisadi ndiyo lulu chadema/ukawa? Hivi mmeandaa uongo gani tena kwetu wananchi?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Safari ya matumaini part II yawaumiza vichwa CCM

    Juhudi ni kubwa ili kuendelea kuficha mafisadi wa nchi. Chadema wajitambue, haingii akilini ganda la ccm kuwa mtaji wa chadema
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Hilo ni gamba ambalo ccm ilitaka kulivua siku nyingi. Ganda la ccm ni mtaji kwa chadema. Hapa lengo ni kifanyike nini kuendelea kuwaficha mafisadi wa kubwa wa nchi.
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Naunga mkono kwani ganda/mafisadi ccm ni mtaji kwa chadema
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Kumbe ganda/mafisadi ya ccm ni mtaji/chakula kwa chadema
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Regina Lowassa kuwapiga stop wageni wa kisiasa, Edward Lowassa ahamishia vikao Sea Cliff

    Ganda la ccm ni mtaji kwa chadema. Hivi kumbe lengo ni urais ili kulinda mali za mafisadi na si vinginevyo. Kula kwa lowassa/ukawa na kulala ccm
  13. A

    JamiiForums Tanzania WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

    Kama wajumbe wa ccm zaidi ya 2,000 wote walishindwa kutoa kura za malohani (lowassa) kwenye uchaguzi ujue wapambe wa lowassa na ukawa lengo lao ni fedha tu. Kula kwa lowassa/ukawa na kulala ccm.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayeiondoa CCM madarakani, CCM imekwisha jiondoa yenyewe rasmi

    Ccm imeonyesha ukomavu na demokrasia kubwa. Wachakachuaji na wenye uchu wa madaraka hadi leo hawajapata mgombea urais. Ganda la ccm ni chakula ukawa.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Ganda la ccm ni chakula ukawa
Back
Top Bottom